Nakusubiri hadi uje nikulalie, nalalaje kabla haujafika...teh[emoji23]Fanya ulale wewe, upate kuifungua yake baadae.
Nishalalwa mie.Nakusubiri hadi uje nikulalie, nalalaje kabla haujafika...teh[emoji23]
SmartSimu ambayo huweki password ni smartphone au kitorch mkuu ?
AhahahahahSitaki mtu aitoe... narudia tena SITAKI SITAKI SITAKI.. wachukue urithi mwingine simu yangu waiache au kama vipi waiflash kwanza kila kitu kifutike ndio waichukue
Fingerprint ni easy tu.wakigusisha inafunguka
Fingerprint ni easy tu.wakigusisha inafunguka
Wewe una nini kingine cha siri ??Hiyo tu?
Mtofautishe finger print na dole gumba.Unapoweka finger print ina sense thermoradiation,michirizi ya vidole ambavyo ni so unique kwa kila binadamu.Mtu akifa no detection msijidanganye.
Refer Stefan constant waliosoma physics hadi high school
Sitaki kubisha ubishani.Amini nakwambia inafungukaZinafanya kazi kwa mtu aliyekufa ?
Wewe una nini kingine cha siri ??
Dahhhh...Nishalalwa mie.
Nikajua video za kugegedwaPicha za utotoni nikiwa na mapengo.
Bado sijaanza kurekodiNikajua video za kugegedwa
Picha si zipoBado sijaanza kurekodi
Natafuta wa kunipigaPicha si zipo
Naomba niwe mpiga picha wakoNatafuta wa kunipiga
Karibu, usisahau vifaa vya kazi.Naomba niwe mpiga picha wako