Ukifa leo nani atatoa lock kwenye simu yako?

Ukifa leo nani atatoa lock kwenye simu yako?

Mtofautishe finger print na dole gumba.Unapoweka finger print ina sense thermoradiation,michirizi ya vidole ambavyo ni so unique kwa kila binadamu.Mtu akifa no detection msijidanganye.
Refer Stefan constant waliosoma physics hadi high school
Zinafanya kazi kwa mtu aliyekufa ?
Sitaki kubisha ubishani.Amini nakwambia inafunguka
 
Nitumia lock ya swipe tu ambavyo hutumii nguvu kutoa nimeweka hivyo kwajili ya dharula yeyote ambavyo inaweza kunipata muda wowote. Ukiba naifunga tu kwa email iliusisumbie watu kupitia simu yangu.
 
Back
Top Bottom