Ukifa leo nani atatoa lock kwenye simu yako?

Wekeni emergency info, ambayo hata kama simu yako iko locked mtu anaweza akaona taarifa zako za kiafya na pia akaona namba zs simu za watu wako wa karibu ukipatwa na shida.

Contacts > Groups > Emergency Contacts
Ok sikuwa najua hilo thanks pal 👊
 
Ni shida sana nakumbuka marehemu mzee wangu alivyofariki, nilichukua simu yake nikaforwadia msg watu wote kwamba mmiliki wa Simu amefariki taarifa ziliwafikia watu wengi , Mimi binafsi naweka lock kwa ajili ya watoto tu wasichezee simu tofauti na hapo ,mwenza wangu naijua yake na yeye anafahamu yangu.
 

Kuna watu humu siku wakifanikiwa kuzijua password za simu za wenza wao,basi siku hiyo ndio inakua mwisho wa ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…