Kamwene kamwene
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,159
- 2,601
- Thread starter
- #81
Kwa upande wangu atatoa mumewangu anajua password ya vitu vyangu vyote vinavyohitaj password
Mume wako ana maisha marefu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa upande wangu atatoa mumewangu anajua password ya vitu vyangu vyote vinavyohitaj password
Ok sikuwa najua hilo thanks pal 👊Wekeni emergency info, ambayo hata kama simu yako iko locked mtu anaweza akaona taarifa zako za kiafya na pia akaona namba zs simu za watu wako wa karibu ukipatwa na shida.
Contacts > Groups > Emergency Contacts
Halafu ukute wewe ni mchungaji....Wengine tuna mambo yetu ya pornhub kwenye simu tumeyaficha,
Hahaha si ndio hapo tatizo linapoanziaHalafu ukute wewe ni mchungaji....
tuanze tonightKaribu, usisahau vifaa vya kazi.
[emoji6][emoji6][emoji6]tuanze tonight
mapema ?[emoji6][emoji6][emoji6]
Ukishafika tutajua kama ni mapema au la.mapema ?
SawaUkishafika tutajua kama ni mapema au la.
Punguza kudeep.Sawa
nitakudip muda huo
Mimi nataka kudip ili nione kina chake kama nina fit in or elsePunguza kudeep.
Uni beep tu inatosha
Mimi nataka kudip ili nione kina chake kama nina fit in or else
Natanguliza kwanza kidole kwenye upimaji. Kabla sijapeleka mwili wote. Hope nitatoka salamaUsiache kuaga utokako, maana waweza kuzama usipatikane tena.
Natanguliza kwanza kidole kwenye upimaji. Kabla sijapeleka mwili wote. Hope nitatoka salama
Ni shida sana nakumbuka marehemu mzee wangu alivyofariki, nilichukua simu yake nikaforwadia msg watu wote kwamba mmiliki wa Simu amefariki taarifa ziliwafikia watu wengi , Mimi binafsi naweka lock kwa ajili ya watoto tu wasichezee simu tofauti na hapo ,mwenza wangu naijua yake na yeye anafahamu yangu.