πππππππ€£π€£Kuna watu humu siku wakifanikiwa kuzijua password za simu za wenza wao,basi siku hiyo ndio inakua mwisho wa ndoa
Ngoja tuone muda ukifika. Tonight is tonightUngesema hata dipstick...kidole si ndio mwili wenyewe?
Me kila siku kabla sijalala nafuta browse history yote au hayo mambo nayaingia kwenye private browser.
Nishawahi kumbwa na fedhea sitaki kukumbuka. Ata nikiwa na usingizi nikikumbuka ile aibu usingizi uwa unakata.
Wengine tuna mambo yetu ya pornhub kwenye simu tumeyaficha,
Hilo sio fungu lako.Siokutoa lock tu hakuna atakaejua nimekufa[emoji3]
Sitaki mtu aitoe... narudia tena SITAKI SITAKI SITAKI.. wachukue urithi mwingine simu yangu waiache au kama vipi waiflash kwanza kila kitu kifutike ndio waichukue
Kwanini waitoe? Yaani atakae jifanya anapekenyua simu yangu nitamrudia kama ghost nitamuwinda maisha yake yote.
Kuna magemu mengi sana nimeishia level za juu sitaki mtu ayaendeleze kisha aniaribie..
Sitaki mtu aitoe... narudia tena SITAKI SITAKI SITAKI.. wachukue urithi mwingine simu yangu waiache au kama vipi waiflash kwanza kila kitu kifutike ndio waichukue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanini waitoe? Yaani atakae jifanya anapekenyua simu yangu nitamrudia kama ghost nitamuwinda maisha yake yote.
Kuna magemu mengi sana nimeishia level za juu sitaki mtu ayaendeleze kisha aniaribie..
Naomba tufanye ile kazFanya ulale wewe, upate kuifungua yake baadae.
Naomba tufanye ile kaz
Turudshe muda nyumaUmechelewa mbona.
Turudshe muda nyuma
Nitafanya kaz ya kuurudshaMda wangu umegoma kurudi