Ukifa leo nani atatoa lock kwenye simu yako?

Ukifa leo nani atatoa lock kwenye simu yako?

Ikishakua na Lock maana yake mimi mwenyewe ndio natakiwa kuifungua sasa kama sipo maana yake ni vilivyomo hakuna mtu mwingine wakuviona wakaiflash tu.Mimi ata wife wangu kuna muda anaazima simu atumie namwambia password ila akishanirudishia tu lazima niibadilishe japo mimi najua yakwake.
 
Browsing history unaifuta usiku, je ukifa jioni?
Me kila siku kabla sijalala nafuta browse history yote au hayo mambo nayaingia kwenye private browser.

Nishawahi kumbwa na fedhea sitaki kukumbuka. Ata nikiwa na usingizi nikikumbuka ile aibu usingizi uwa unakata.
 
Kumbe
Wengine tuna mambo yetu ya pornhub kwenye simu tumeyaficha,
tapatalk_1574796885569.jpeg
 
Sitaki mtu aitoe... narudia tena SITAKI SITAKI SITAKI.. wachukue urithi mwingine simu yangu waiache au kama vipi waiflash kwanza kila kitu kifutike ndio waichukue
Kwanini waitoe? Yaani atakae jifanya anapekenyua simu yangu nitamrudia kama ghost nitamuwinda maisha yake yote.

Kuna magemu mengi sana nimeishia level za juu sitaki mtu ayaendeleze kisha aniaribie..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom