Salamu baadae.
Sku hizi RIP zimekuwa nyingi mtaani hata huku. jf wanautaratibu wa kuweka hio status kwenye profile yako pale unapofariki na taarifa wanazipata kutoka kwa watu wa karibu. Sasa swali ni nani mtu wako wa karibu anayeweza kutufahamisha?
Naamini wapo wengi walishatutangulia lkn hatufahamu tunaishia kusema "sku hizi wamepotea".
Usalama wa nchi.[emoji18]Ni kwa usalama wako au wa nchi??
Huku nako kumbe wanafunzi wameingia siku hizi..zamani jf ilikuwa ya watu wanaoeleweka watu wazima au hata honourable people.sasa ona jamaa katoa hoja ya msingi tuu ila watu wanacomment utani..siku hizi jf hadi huko jamii intelligence ni utani..hakuna forum ya userious!!
Swali fikirishi..Kwani kuna zaidi kipi mtu kujua mjeif fulani amefariki?? Kuna rambirambi yeyote inayopata familia ya mwendazake?? au tu ni taarifa fulani ka rip. Kama baadhi yetu tumekutana JF bila kujuana basi na wakati ukifika tuondoke kimya kimya. Japo kwa wanaofahamiana ni vizuri kujua.Ujue bana hapa ili kupata wa kuleta taarifa inabidi kuishi kifamilia na huyo mjf na hapo ndo taarifa zinaeza kujulikana hapa jf nikimaanisha labda umezoweana na fulani basi inabidi mmoja kwenye familia awe anamfahamu huyo mtu ili likitokea jambo basi yule Mwanajf anafahamishwa.
Lakini mazowea ya wawili tu yaani Mjeiefu kwa mjeiefu ukifa ghafla ndo imetoka hiyo labda itokee waamue kufahamisha kifo wote walioko kwenye contacts za simu ya aliyefariki na iwe huyo mjeiefu kaseviwa sasa na ikitokea hawajafanya hivyo ndo basi tena.
Yaani unashangaa Shadeeya anapotea tu ndani ya sever za jf na namba haipatikani kumbe ndo nishakufaga kitambo.
Sidhani kama kuna cha zaidi Mkuu bali nadhani hii yote ni ile namna watu wanavyoishi humu majukwaani hivyo sio vibaya wengine wakijua kwamba ID fulani hatunaye.Swali fikirishi..Kwani kuna zaidi kipi mtu kujua mjeif fulani amefariki?? Kuna rambirambi yeyote inayopata familia ya mwendazake?? au tu ni taarifa fulani ka rip. Kama baadhi yetu tumekutana JF bila kujuana basi na wakati ukifika tuondoke kimya kimya. Japo kwa wanaofahamiana ni vizuri kujua.
Inapunguza maswali kwa memba, chukulia mfano mtu km warumi alikuwa mtu special sana kwenye celebrity forum kwa mada zake, lkn sasa hatutozipata tena na wale wadau wote wa thread zake hawatakua na maswali kwamba kwanini jamaa haleti mada zileSwali fikirishi..Kwani kuna zaidi kipi mtu kujua mjeif fulani amefariki?? Kuna rambirambi yeyote inayopata familia ya mwendazake?? au tu ni taarifa fulani ka rip. Kama baadhi yetu tumekutana JF bila kujuana basi na wakati ukifika tuondoke kimya kimya. Japo kwa wanaofahamiana ni vizuri kujua.
Wewe watakaotoa taarifa zako ni wale marafiki zako wa Simba vs Yanga wa humu😄😄😄Ujue bana hapa ili kupata wa kuleta taarifa inabidi kuishi kifamilia zaidi na huyo mjf na hapo ndo taarifa zinaeza kujulikana hapa jf nikimaanisha labda umezoweana na fulani basi inabidi mmoja kwenye familia awe anamfahamu huyo mtu ili likitokea jambo basi yule Mwanajf anafahamishwa.
Lakini mazowea ya wawili tu yaani Mjeiefu kwa mjeiefu ukifa ghafla ndo imetoka hiyo labda itokee waamue kufahamisha kifo wote walioko kwenye contacts za simu ya aliyefariki na iwe huyo mjeiefu kaseviwa sasa na ikitokea hawajafanya hivyo ndo basi tena.
Yaani unashangaa Shadeeya anapotea tu ndani ya sever za jf na namba haipatikani kumbe ndo nishakufaga kitambo.