Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Jf umeshakua mtandao mkubwa sana nchini na hata nje ya nchi. Sio rahisi members kufahamiana kwa hizi id zetu japo baadhi wanafahamiana. Na nadhani wale wanaofahamiana ni kile kipindi members wanakutana kufahamiana ama lah ni katika kusaidiana shida/kibiashara au wale ambao wana jina kubwa humu so watu hupenda kifahamiana nao physicaly.
Sasa kuna sisi tusio na rafiki, sio maarufu humu, ni wazee wa kusoma, kulike, comments kwa mbaali, uzi mmoja kwa miaka na ndo tupo wengi sana. Sasa mtu wa hivi akidondoka si rahisi kujua, na anaweza kua ni jirani au rafiki yako kabisa mtaani, lakini huku anaitwa kalunguyeye na mnakadhfiana kwelikweli humu ndani.
So ndo ivo mkuu ni kua si rahisi kujua mtu asiefahamika humu akidondoka.