Ukifa leo nani atatoa taarifa zako hapa JF?

Ujue bana hapa ili kupata wa kuleta taarifa inabidi kuishi kifamilia zaidi na huyo mjf na hapo ndo taarifa zinaeza kujulikana hapa jf nikimaanisha labda umezoweana na fulani basi inabidi mmoja kwenye familia awe anamfahamu huyo mtu ili likitokea jambo basi yule Mwanajf anafahamishwa.

Lakini mazowea ya wawili tu yaani Mjeiefu kwa mjeiefu ukifa ghafla ndo imetoka hiyo labda itokee waamue kufahamisha kifo wote walioko kwenye contacts za simu ya aliyefariki na iwe huyo mjeiefu kaseviwa sasa na ikitokea hawajafanya hivyo ndo basi tena.

Yaani unashangaa Shadeeya anapotea tu ndani ya sever za jf na namba haipatikani kumbe ndo nishakufaga kitambo.
Nilitamani ww ndio ungekuwa unatoa taarifa zangu hapa jf lkn[emoji30][emoji30][emoji30]........
 
Binafsi wengi watapata taarifa zangu kupitia akaunti yangu ya facebook na instagram.
Atakayewahi kuweka taarifa wa kwanza ndo huyo huyo.
 
Ujue bana hapa ili kupata wa kuleta taarifa inabidi kuishi kifamilia zaidi na huyo mjf na hapo ndo taarifa zinaeza kujulikana hapa jf nikimaanisha labda umezoweana na fulani basi inabidi mmoja kwenye familia awe anamfahamu huyo mtu ili likitokea jambo basi yule Mwanajf anafahamishwa.

Lakini mazowea ya wawili tu yaani Mjeiefu kwa mjeiefu ukifa ghafla ndo imetoka hiyo labda itokee waamue kufahamisha kifo wote walioko kwenye contacts za simu ya aliyefariki na iwe huyo mjeiefu kaseviwa sasa na ikitokea hawajafanya hivyo ndo basi tena.

Yaani unashangaa Shadeeya anapotea tu ndani ya sever za jf na namba haipatikani kumbe ndo nishakufaga kitambo.
Nitalia sana nikisikia kipenzi kavuta na kuaga dunia. Na sijui taarifa za kuburudisha kutoka kwa Yanga Sc tutazipata wapi??
 
Ujue bana hapa ili kupata wa kuleta taarifa inabidi kuishi kifamilia zaidi na huyo mjf na hapo ndo taarifa zinaeza kujulikana hapa jf nikimaanisha labda umezoweana na fulani basi inabidi mmoja kwenye familia awe anamfahamu huyo mtu ili likitokea jambo basi yule Mwanajf anafahamishwa.

Lakini mazowea ya wawili tu yaani Mjeiefu kwa mjeiefu ukifa ghafla ndo imetoka hiyo labda itokee waamue kufahamisha kifo wote walioko kwenye contacts za simu ya aliyefariki na iwe huyo mjeiefu kaseviwa sasa na ikitokea hawajafanya hivyo ndo basi tena.

Yaani unashangaa Shadeeya anapotea tu ndani ya sever za jf na namba haipatikani kumbe ndo nishakufaga kitambo.
Ukweli huu
 
Huku nako kumbe wanafunzi wameingia siku hizi..zamani jf ilikuwa ya watu wanaoeleweka watu wazima au hata honourable people.sasa ona jamaa katoka hoja ya msingi tuu ila watu wanacomment utani..siku hizi jf hadi huko jamii intelligence ni utani..hakuna forum ya userious!!
Ila kwakweli kuna wadau wanakera sana humu.
Wanashindwa hata kujizuia wanaanza kuropoka wajuavyo.
 
Shunie ndugu
Nyani Ngabu mkwe/shemeji
audacious huyu shemeji wa rafiki yangu
amu huyu atajua kupitia NN
Hazard CFC huyu muunganiko mrefu sana
Dinazarde huyu atajua kupitia rafiki yetu mheshimiwa mbunge wa jimbo fulani.

Siku ikifika watu wengi wa Tz watanipost Sema ndo hamtajua kama ndo mimi and ikifika nyie wenye picha zangu msione shida kunipost mwaya maana nitakua marehemu so hamna shida wakinipost kibonge
Naaam
 
Back
Top Bottom