Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Hahaha hakuna shida mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hakuna shida mkuu
🤣🤣🤣🤣🤣Heheheh mim nikikufa iwe kimya tu 😂😂😂😂
Sitaki hata rambirambi wakuu
Kunakua na id la mambo ya hovyo..hilo hata wew unakua hujui kama ni yakoMimi ni mtu wa noma sana....kungekuwa na mtu ananijua humu nisinge-comment kwa uhuru......
hapana mtu jua mimi niga....
Sio celeb hata Sema najuana Juana kidogo na binadamu wenzangu.Na ww ni jina kubwa utakuwa..
usikute nakufahanu humu mijini....!!?
lkn ndio sijui kama Mzigua? aka Mmakuwa
Mpaka kwa wifi yangu kwa nanihiiiBby huu muunganiiko vipii??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimemis sana kile kijiwee...basi tuMpaka kwa wifi yangu kwa nanihiii
Yaani daaahNimemis sana kile kijiwee...basi tu
Kwanini sasa ukose uhuru mkuu? Huku ukiwa fake ndo hutataka watu wakujue sababu watakublast.Mimi ni mtu wa noma sana....kungekuwa na mtu ananijua humu nisinge-comment kwa uhuru......
hapana mtu jua mimi niga....
Wewe una extended family kabisa huku jfShunie ndugu
Nyani Ngabu mkwe/shemeji
audacious huyu shemeji wa rafiki yangu
amu huyu atajua kupitia NN
Hazard CFC huyu muunganiko mrefu sana
Dinazarde huyu atajua kupitia rafiki yetu mheshimiwa mbunge wa jimbo fulani.
Siku ikifika watu wengi wa Tz watanipost Sema ndo hamtajua kama ndo mimi and ikifika nyie wenye picha zangu msione shida kunipost mwaya maana nitakua marehemu so hamna shida wakinipost kibonge
Bora niwe huku huku chimbo hata wakiniblast siumii manake najua hawanijui.....Kwanini sasa ukose uhuru mkuu? Huku ukiwa fake ndo hutataka watu wakujue sababu watakublast.
HahahahaMbona wachuchu tu mzee baba...😊
Na msiba kuhudhuliwa na viongozi was serikali na mabaloziHumu wapo watakaotoa taarifa zangu...
Wapo nitakaotoa taarifa zao...
Uongozi mzima wa JF watatoa taarifa zangu...g
🤐🤐Na msiba kuhudhuliwa na viongozi was serikali na mabalozi