Ukifa leo nani atatoa taarifa zako hapa JF?

Kabisa mkuu
 
nitatoa mwenyewe saa chache kabla ya kifo kuchukua uhai wangu!
Sio kila mtu anafariki na kupata fursa kama hiyo!
Unaweza kupata ajali usipata hata dakika moja ya kuaga.
 
Kama atakayechukua simu yangu atakuwa member wa Jf basi huyo ndio atatoa taarifa. Maana nimejaribu kufikiria hata watu wa hapa ninaofahamiana nao hawatakuwa na namna ya kupata taarifa
Katika vitu vigumu kupata access na kuitumia basi ni hizo simu za marehemu., Nyingine zina patterns , lock codes .n.k
Kama hii simu yangu, nadhani siku nikifariki na yenyewe itakua kopo immediately,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…