Ukifahamu kuhusu "Prussian Education System" , utaelewa kwanini Likud nasema haifai watanzania kulipia mamilioni EMs

100% Fact

Aisome Joannah
 
Wewe ndio unahangaika kusoma nyuzi Mimi wala hata sihangaiki.

It is a campaign.

Just hit an ignore button
 
100% Fact
 
" Mradi WA kufuga karunguyeye"🤣🤣🤣🤣🤣
 
100% Fact.

Aione my dear Joannah
 
Hizo tag zako zote unajishosha siwezi kujifunza kwa waliokata tamaa.
Umenishangaza. Kama msomi unapaswa kuwa na uwezo wa kujifunza Kwa watu wa aina zote na hali za aina zote

Kwa mfano Mimi nimejifunza hadi Kwa wachawi. Kwa wachawi nimejifunza kuwa msiri.

Wachawi huwa ni wasiri Sana na mchawi akitoa Siri huwa ana uwawa

So futa kauli yako
 
Anayeona saivi anafanya uwekezaji. Asubiri atapokuwa amechoka hana nguvu tena alafu bado TOTO lake lipo nyumbani linakazi ya kufatilia BBA,UEFA na Series za movie huku ni GRADUATE mzima anasubiri michongo(WHITE COLOR JOBS) za MBELEKO.

📌📌📌Shida sio kwamba watu hawauoni huu ukweli ila shida mtu anajifikiria MAJIRANI,NDUGU watanionaje.Kwahiyo mtu anaamua kufa na TAI SHINGONI kulinda STATUS FEKI😂😂😂

Jobless ambao ni GRADUATE wenye historia ya kusoma hizi EMS ndo wanaongoza kukaa nyumbani maana tangu wanasoma wao walikaririshwa PENI NA MAKARATASI ndio maisha hawana ujuzi wala hawajakulia katika mazingira ya kufanya kazi.

Hii mi BROILAZ ikija mtaani haina impact yoyote maana hata shule walikuwa,WANAFULIWA,WANAFANYIWA USAFI MPAKA SEHEMU ZA KULALA na KUZUNGUKA MAZINGIRA YA SHULE.

Wengi hawajui kazi,hawakui unakuta mtu mzima GRADUATE hata kutandika kitanda hawezi ASHAZOEA SHULE KUNA MFANYAKAZI,NYUMBANI KUNA MFANYAKAZI.Mnawahawaribu hawa watoto huko sio kuwapenda badala yake MNAWADUMAZA.

Hata MAKAZINI hawa BROILAZ HAWAJITUMI maana kazi zenyewe wanapata kwa CONNECTION🤗Ni vile watu hawaongei wazi ila EMS zinaharibu watoto.

EMS zimechangia pakubwa katika MMOMONYOKO WA MAADILI na mabinti wengi wasioolewa(WANASTANDARDS ZAO FEKI ZA EMS/LIFE FAKERS) na MASINGO MAZA ni product za EMS.Vijana wengi MAPAPAI ni PRODUCT ZA EMS!!!
 
100% facts. Hilo wala halina ubishi ndio maana tunawasanua wastuke mapema
 
kwani walikuomba uwalipie ada mbona unalazimisha sana?
wewe pambana na hali yako waachae wenyewe wapambane na hali zao.
 
Badala ya kupoteza muda na pesa ni bora .HIZO PESA ZAKO MBILI TATU UWEKEZE MTOTO AKIMALIZA SEKONDARI uzitumie uongezee kidogo akasome nje ya nchi huko.

Kuna SCHOLARSHIP za kuanzia 50% mpaka 75% kwa undergraduate.Zipo za mpaka 100% ila ni chache ni mara 1,000 uwekeze hizo hela unazotupa huko EMS mtoto akimaliza sekondari either form 4 au 6 zimsaidie akasome elimu ya DUNIA.

SIO AMEMALIZA FORM 6 ANAOMBA KWENDA VYUO VYA HAPA NDANI,ALAFU ANAKOSA MKOPO😄😄😄AU ANAKOSA ADA YA KUSOMA WAKATI HII NDO ELIMU YENYEWE SASA HUKO CHINI NI SEHEMU YA MAKUZI TU.WATANZANIA BADILIKENI DUNIA INAENDA KASI SANA NYIE MMELALA!!!

📌Watanzania ACHENI kuogopa BALOZI yale majengo myatembelee mkatafute fursa za watoto wenu kusoma nje acheni kung'ang'ania vyuo vyenu visivyo na RANK za kueleweka huko DUNIANI.

TEMBELEENI HIZO BALOZI NYINGI ZINATOA SCHOLASHIP KATIKA UMRI WA 18-23📌📌📌
 
kwani walikuomba uwalipie ada mbona unalazimisha sana?
wewe pambana na hali yako waachae wenyewe wapambane na hali zao.
Kwani na Mimi nimekuomba ucoment?

Wewe pambana na comment yako na Mimi nipambane na Uzi wangu.


Nimekujibu Kwa kutumia kiwango Chako cha ufahamu
 
kama ulikuwa hutaki comment kilichokufanya uanzishe thread ni nini?
ungewatag ndugu zako waje watoe comments unazozipenda
Na kama ulikuwa hutaki nikujibu ulijibu Uzi wangu WA Nini. Ungewajibu ndugu zako ili wakupe majibu unayo yapenda
 
Yaani ni Bora nilipie mwanangu afundishwe tennis alfu kumi Kila siku ili aje awe akina William's sister or Sharapova maria Ila sio ishu ya kuongea English, unakutana nao udsm, wanaajiriwa wanalipwa scale za kawaida, wanafeli, wanakosa ajira si Bora ungemnunulia bonds ama shamba anakuja kuwa mkubwa anapata muwekezaji anajenga fremu anaanza kula hela,mfungulie biashara hata ya genge akitoka kayumba anakuja kuuza pale anapata elimu halisia,mfungulie carpentry workshops any of this kind ajue namna ya kusimamia kutafuta masoko, hata namna ya kutengeneza sabuni, wachina Wana viwanda mpaka Kila nyumba, yaani mtu anapanga nyumba humo ndani anatengeneza bati sio ishu kubwa mno, Kuna kiwanda cha tissue watanzania wengi can afford it.
Assume Kuna binti akasomeshwa nyakahoja, akasoma India chuo saivi Yuko kwenye kampuni ya ujenzi ya mzawa yaani akawekwa Kama msaidizi sekretari pia ni Kama msaada anapewa tu, mie ni Engineer pale mshahara wake namie yaani inabidi apige kazi mwaka mzima mie ndio nalipwa mwezi mmoja.
Yaani tokea nilipofika tabora boys hao jamaa nikawa nawazidi hiyo English yao kwa matokeo ya darasani Ile form two nikajisomea novels Kama Sina akili nikaanza kuongea nao nilidharau mno niliona kuwa ni ubishoo tu sawa na kuvaa saa ya 10bilioni ili na wewe uheshimike,


Let us keep our feelings aside to analyse cons and prons of both kayumba vs em.
May be tunajifariji na hali zetu za kipesa na hili nalo liangaliwe kwa mapana.

Mnunulie mtt shamba , Anza kufunga nguruwe kuku kwa hela iyo iyo unamsomeshea em akija kumaliza foo ama diploma unakuta Yuko mbali mno, njoo Sasa kwenye hata bustani alime ya horticulture mbona anatoba kabisa,.

Elimu is education in English which derived from latin word means to draw out
 
Katika uzi huu ndo nimeanza kukutna hoja za watu wenye ubongo mana nilishata tamaa kabisa nikasema bora nihamie tu fb ila trend ikiendelea hivi bhc sihami.. af nawaibia siri wanaopigia chapuo EMs NI WANUNUZI WA UDONGO WA BWANA MWAMPOSA MANA ULE NI KWA AJILI YA LOW MIND PERSONS TU!! NA NDO HAWA WANATUSUMBUA HAPA.!!
 
UWE MAKINI: WENYE MASHULE WASIJE WAKAKUDHURU, KWASABABU UNAWAAMSHA WA TZ
 
100% Fact mkuu umeongea point kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…