Ukifanya biashara hizi na kuweka nguvu haswa uhakika wa kufanikiwa ni 100%

Ni biashara pana sana sio lazima ulime, uuze chakula kama chakula. Biashara husika inategemea na mazingira uliopo. Kwa mfano magenge duka, ndani hukosi nyanya na viungo vingine vya mboga, vyakula vya nafaka na aina nyingine ya vitu vyenye mzunguko wa haraka hasa maeneo yenye mzunguko mkubwa wa watu. Kumbuka we unakula hivyo hivyo.
Futa ile andika hii
 
Ukitaka kupima uzuri wa wazo la biashara, likosoe.

Ni rahisi sana kuona biashara flani na flani ni nyepesi, kwanza biashara yeyote inaonekana nyepesi kinadharia,

Ukitafuta mapungufu yake, ukaona biashara flani haikosoleki/ina changamoto chache, hapo umeshinda biko.
 
Simshauri mtu kuwekeza kwenye media. Wajanja wachache walipiga hela enzi hizo.

Media haitokuwa biashara tena miaka ijayo sababu ya social network, najua kuna watu watalipinga hili ila ukweli ndio huo. Tena radio ndio hazina muda mrefu zitaanza kufa kifo cha mende.

Zamani tulikua tunapiga simu redioni kuomba kupigiwa wimbo wa diamond lakini leo hii nikitaka kusikiliza diamond its just a single click kwenye simu yangu napata list ya nyimbo za chibu la machibu dangote. Sasa nipige simu redioni kutafuta nini?

Zamani ilikua ikishafika saa mbili kamili usiku, karibu kila nyumba utakuta wame tune ITV wanasikiliza taarifa ya habari za siku nzima(hapa namaana kwamba, hata kama tukio lilitokea saa kumi na mbili asubuhi, itakulazimu usubiri mpaka saa mbili usiku kusikiliza nini kimetokea, tofauti na sosha network taarifa itakufikia kiganjani tena kinagaubaga kuliko hata ile ya kwenye TV.

Hitimisho ni kwamba watu wanaendelea kusikiliza redio na kuangalia TV kama mazoea tu au tuseme imekua ni kama utamaduni tu. Ni sawa na kumkuta mtu kasimama meza ya magazeti anasoma vichwa vya habari wakati mkononi ameshikilia smartphone, tupo katika transition kizazi kijacho itakua ni upuuzi kusikiza redio,kusoma magazeti na kuangalia tv
Umenena vyema
 
Huu ni ukweli
 
Mafuta, hapa nimelenga hasa vyombo vya moto kwani biashara yake ni uhakika japo unahitaji mtaji mkubwa kidogo.

Michezo, kwa dunia ya sasa michezo yote ni biashara kubwa sana, ukiamua kujikita kwenye uuzaji wa vifaa vyote michezo biashara yake ni uhakika. Si unaona kina mo na gsm alivyong’ang’ana kwenye hivi vilabu vyetu kuna pesa. Weka pesa upate pesa
I got you 🙏🏾
 
Simshauri mtu kuwekeza kwenye media. Wajanja wachache walipiga hela enzi hizo.

Media haitokuwa biashara tena miaka ijayo sababu ya social network, najua kuna watu watalipinga hili ila ukweli ndio huo. Tena radio ndio hazina muda mrefu zitaanza kufa kifo cha mende.

Zamani tulikua tunapiga simu redioni kuomba kupigiwa wimbo wa diamond lakini leo hii nikitaka kusikiliza diamond its just a single click kwenye simu yangu napata list ya nyimbo za chibu la machibu dangote. Sasa nipige simu redioni kutafuta nini?

Zamani ilikua ikishafika saa mbili kamili usiku, karibu kila nyumba utakuta wame tune ITV wanasikiliza taarifa ya habari za siku nzima(hapa namaana kwamba, hata kama tukio lilitokea saa kumi na mbili asubuhi, itakulazimu usubiri mpaka saa mbili usiku kusikiliza nini kimetokea, tofauti na sosha network taarifa itakufikia kiganjani tena kinagaubaga kuliko hata ile ya kwenye TV.

Hitimisho ni kwamba watu wanaendelea kusikiliza redio na kuangalia TV kama mazoea tu au tuseme imekua ni kama utamaduni tu. Ni sawa na kumkuta mtu kasimama meza ya magazeti anasoma vichwa vya habari wakati mkononi ameshikilia smartphone, tupo katika transition kizazi kijacho itakua ni upuuzi kusikiza redio,kusoma magazeti na kuangalia tv.

Mwisho kabisa, hivi huwa hamjiulizi kwa nini TV na Radio stations zinafungua page sosha network?? Mf itv kuwa na page Facebook
hakuna wakukupinga upo sahihi kabisa watu saizi wapo tayari kulipia mamilioni ya matangazo kwenye social nertwork kuliko kweny Radio
 
Hii inaliza wengi sana wakija na opinion kama yako. Unauza chakula naa watu hawanunui. Unalima nyanya nawatu hawaji shambani, ukienda sokoni wanakulalia.
Unalima mahindi heka unahudumia kwa laki 5, kwenda kuvuna gunia ni elfu 30.
 
Siku
Waliofungua redio wengi kwa sasa wanalia. Makampuni yamepunguza sana kutoa matangazo kwenye redio kwahiyo hali ni mbaya sana. Watangazaji wengi wana njaa kali isiyoelezeka. Kama mtu ana wito wa hiyo biashara aifanyie mtandaoni.
Siku hizi wanabetisha tu.
 
Back
Top Bottom