Ukifanya biashara hizi na kuweka nguvu haswa uhakika wa kufanikiwa ni 100%

Futa ile andika hii
 
Ukitaka kupima uzuri wa wazo la biashara, likosoe.

Ni rahisi sana kuona biashara flani na flani ni nyepesi, kwanza biashara yeyote inaonekana nyepesi kinadharia,

Ukitafuta mapungufu yake, ukaona biashara flani haikosoleki/ina changamoto chache, hapo umeshinda biko.
 
Umenena vyema
 
Huu ni ukweli
 
I got you 🙏🏾
 
hakuna wakukupinga upo sahihi kabisa watu saizi wapo tayari kulipia mamilioni ya matangazo kwenye social nertwork kuliko kweny Radio
 
Hii inaliza wengi sana wakija na opinion kama yako. Unauza chakula naa watu hawanunui. Unalima nyanya nawatu hawaji shambani, ukienda sokoni wanakulalia.
Unalima mahindi heka unahudumia kwa laki 5, kwenda kuvuna gunia ni elfu 30.
 
Siku
Waliofungua redio wengi kwa sasa wanalia. Makampuni yamepunguza sana kutoa matangazo kwenye redio kwahiyo hali ni mbaya sana. Watangazaji wengi wana njaa kali isiyoelezeka. Kama mtu ana wito wa hiyo biashara aifanyie mtandaoni.
Siku hizi wanabetisha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…