Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Uzi wa kujipakulia minyama au sio, we unafanyiwa yoooote hayo huyo mwanamke anaeyafanya hayo anafaidika na nini???Umeandika kama utani ila huu ni uzi muhimu sana na unatoa mafunzo mujarabu kwa walio kwenye ndoa au wanaotarajia kuingia kwenye ndoa
💐💐💐💐Slavery era ishapitwa na wakati. Ndo ni maelewano kati ya Mume na Mke. Ndugu wa Mume na Mke mkae kando tena kwa kutulia
Kwahiyo ni kama uko gerezani? Mueleweshe basics za ndoa atakuelewa mkuu7 kuacha kiherehere cha kimfuatilia mume mpe uhuru
kuna mjinga kanifanya nione ni tabu sana kuwa kwenye ndoa,nampango wa kumtoroka
-hataki simu yangu iingize sms
-hataki kusikia sauti ya kike kwenye sm yangu
-hataki nihudhurie harusi
-hataki nisalimiane na wanawake
-hataki nitoke nyumbani
-yaan ni kama kanioa vile,ana maujinga jinga mengi tu
Piga chini.... Akachunge mbuzi kwao7 kuacha kiherehere cha kimfuatilia mume mpe uhuru
kuna mjinga kanifanya nione ni tabu sana kuwa kwenye ndoa,nampango wa kumtoroka
-hataki simu yangu iingize sms
-hataki kusikia sauti ya kike kwenye sm yangu
-hataki nihudhurie harusi
-hataki nisalimiane na wanawake
-hataki nitoke nyumbani
-yaan ni kama kanioa vile,ana maujinga jinga mengi tu
Huwa na kuelewa sana eva,kwenye ushauri haunaga kupendelea kisa eti ni mwanamke mwenzioPiga chini.... Akachunge mbuzi kwao
According to feminist that is outdated slavery.1.usafi
2.nidham adabu
3.matumiz mazur ya pesa
4.jukumu lako la kwanza kumridhisha mume kwanza
5.upendo kwa ndugu wa mume
6.zawad kwa mume siku moja moja
7 kuacha kiherehere cha kimfuatilia mume mpe uhuru
8.uchapakaz
9.kuomba ruhusa kila unapotoka au kufanya jambo fulan
10.ujue kupika
Ila tu piga chini at your own risk....Huwa na kuelewa sana eva,kwenye ushauri haunaga kupendelea kisa eti ni mwanamke mwenzio
11.kiuno kiwe chepesi.1.usafi
2.nidham adabu
3.matumiz mazur ya pesa
4.jukumu lako la kwanza kumridhisha mume kwanza
5.upendo kwa ndugu wa mume
6.zawad kwa mume siku moja moja
7 kuacha kiherehere cha kimfuatilia mume mpe uhuru
8.uchapakaz
9.kuomba ruhusa kila unapotoka au kufanya jambo fulan
10.ujue kupika
Huu ndio msingi mkuu wa ndoa kudumu (42.5N/R)concrete foundation.Uko sahihi japo Kusameheana na kubebeana madhaifu kunafanya wenza wadumu saana
Jnafaaa kua mke na mwez wa ndoa ndio huuu1.usafi
2.nidham adabu
3.matumiz mazur ya pesa
4.jukumu lako la kwanza kumridhisha mume kwanza
5.upendo kwa ndugu wa mume
6.zawad kwa mume siku moja moja
7 kuacha kiherehere cha kimfuatilia mume mpe uhuru
8.uchapakaz
9.kuomba ruhusa kila unapotoka au kufanya jambo fulan
10.ujue kupika
Nyie mtapewa bikra mpya.Uzi wa kujipakulia minyama au sio, we unafanyiwa yoooote hayo huyo mwanamke anaeyafanya hayo anafaidika na nini???
Ndo haya haya mbinguni wanaume wanapewa mabikra 72 sisi huko tutapewa nini??
Ana upendo uliopitiliza kukuelekea ila hakuamini kwa 100% hii inachangiwa na tabia yako(huenda ww ni kipanga) au namna mara ya kwanza mlikutana mazingira gani?(1st perception)7 kuacha kiherehere cha kimfuatilia mume mpe uhuru
kuna mjinga kanifanya nione ni tabu sana kuwa kwenye ndoa,nampango wa kumtoroka
-hataki simu yangu iingize sms
-hataki kusikia sauti ya kike kwenye sm yangu
-hataki nihudhurie harusi
-hataki nisalimiane na wanawake
-hataki nitoke nyumbani
-yaan ni kama kanioa vile,ana maujinga jinga mengi tu
Sitaki kuliwa nimechoka, niliwe duniani nkaliwe na mbinguni....sitakiNyie mtapewa bikra mpya.
Hivyo mtakuwa miongoni mwa hao 72 kwa mwanaume mmoja.
Mimi nakula kula ila sio sana,afu pia mtaan watu hujisikia amani kuniongelea na kujifanya wananijua sana na wanajua mambo yangu yoteAna upendo uliopitiliza kukuelekea ila hakuamini kwa 100% hii inachangiwa na tabia yako(huenda ww ni kipanga) au namna mara ya kwanza mlikutana mazingira gani?(1st perception)
Mambo 10 kwa mtu mmoja hata Aliyemuumba atashangaa1.usafi