Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Uzi wa kujipakulia minyama au sio, we unafanyiwa yoooote hayo huyo mwanamke anaeyafanya hayo anafaidika na nini???Umeandika kama utani ila huu ni uzi muhimu sana na unatoa mafunzo mujarabu kwa walio kwenye ndoa au wanaotarajia kuingia kwenye ndoa
Ndo haya haya mbinguni wanaume wanapewa mabikra 72 sisi huko tutapewa nini??