Ukifanya Kazi hizi mwisho lazima ufe kwa ngoma (75%)

Watu wooote haijalishi unafanya nini.....acheni kujipa hopes! Hili gonjwa linaua hata ma-bikra
 
Watangazaji wa Television vijana.
Wanenguaji wa Bendi
 

Naombeni ufafanuzi kuhusu Bwana Ng'ombe na Fundi decorder anaweza vipi kuwa kwenye hatari kubwa ya kupata ngoma?
 
Aids is everywhere!
No matter who you are!
Hakuonekana na binti............!
 
Wafanyakazi wote na jamii zote ambazo hazitafanya kazi kwa makini
 
waonyesha mikanda\movie kwenye vibanda uswahilini.
 
Wahudumu wote wa Afya.
 
mh! yahitaji kuwa na vielelezo au la takwimu za kutosha ili kutoa mjumuisho kama huu. vinginevyo wote tuheshimu kazi ze2
 
kila anayefanya ngono zembe yuko kwenye hatari ya kuambukizwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…