Ukifanya Kazi hizi mwisho lazima ufe kwa ngoma (75%)

Ukifanya Kazi hizi mwisho lazima ufe kwa ngoma (75%)

Kila mmoja yuko hatarini, haijalishi kazi anayoifanya...Hata wabunge pale Dodoma wanafumua hivi vidada vinavyojiuza balaa...Hakuna aliye salama labda usitoke ndani.

Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
 
Mapasta,

wachungaji,
wainjilisti

Madokta

washauri nasaha
askari polisi na ,magereza
wabunge
Rais
TRA
Muuza nguo za Kike
MC
Fundi cherehani
Muuza genge
Bwana Ng'ombe
House Girl.
Muimba kwaya Kanisani
Fundi Decoder
Mwalimu
Wakili
Hao watatu wa mwanzo umepatia sanaa mzee
 
Ukimwi ni ajali kama ajali zingine,,
Ugonjwa hauna formula.. Tunajilinda lakini haukwepeki...
Wewe utajikinda,,,,huyo mkeo au mumeo unatembea nae mfukoni?
Siku yako ikifika huna ujanja...
Omba MUNGU tu akuepushe....
 
Mapasta,

wachungaji,
wainjilisti

Madokta

washauri nasaha
askari polisi na ,magereza
wabunge
Rais
TRA
Muuza nguo za Kike
MC
Fundi cherehani
Muuza genge
Bwana Ng'ombe
House Girl.
Muimba kwaya Kanisani
Fundi Decoder
Mwalimu
Wakili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my OPPO R11s using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom