Ukifanya mambo haya manne kama hufanikiwi nipigie simu nikirudishe pesa zako

Ukifanya mambo haya manne kama hufanikiwi nipigie simu nikirudishe pesa zako

We unamiliki billion ngapi?
Screenshot_20250206-175958~2.jpg
 
1.Sadaka ya fungu la 10

2. Kusaidia wahitaji mfano yatima na wajane

3.Wazazi au walezi wako

4.Ujenzi au kuchangia kazi za Mungu mfano ujenzi wa nyumba za ibada.

Hii ndo njia halali ya kutoboa kimaisha, anza na ulichonacho
Fa ya wewe kwanza ufanikiwe
 
Hiyo ya kwanza ni utapeli ni wizi kama wizi mwingine

Zingine mbili za katikati ni za kweli kabisaa!!
Ila ya mwisho Haina mashiko kivip.

Zaka ilikuwa maalumu Kwa ajiri ya walawi tu walikuwa hawana shamba Wala kazi tofauti na kuhudumu hekaluni muda wote.

Kwa Sasa ni utapeli na wizi wa wazi wazi. Huwezi mpa mchungaji fungu la kumi huku yeye analipwa mshahara na watoto wake mna msomeshea kulima analima na mashamba mnatoa Hela zenu na gari mmesha nunua ikiharibika mnachangishana!!!

Hilo fungu la kumi Kwa Sasa ni wizi
 
Elezea kwa uzuri jinsi mambo hayo yanavyoweza kuleta mafanikio - Nahitaji kujifunza mchakato mzima.

Tuseme hapa nina laki5, niitumiaje ili niweze kufanikiwa kwa kutumia njia tajwa.
fanya hivi chukua 50000 peleka kanisani ama kulingana na imani yako, 40000 kwa wazazi ama walezi, 50000 makundi maalumu tenga laki 3 uanzishe biashara kulingana na eneo ulilopo baada ya miezi 6 nitafute mkuu
 
Back
Top Bottom