Ukifanya mambo haya manne kama hufanikiwi nipigie simu nikirudishe pesa zako

Ukifanya mambo haya manne kama hufanikiwi nipigie simu nikirudishe pesa zako

fanya hivi chukua 50000 peleka kanisani ama kulingana na imani yako, 40000 kwa wazazi ama walezi, 50000 makundi maalumu tenga laki 3 uanzishe biashara kulingana na eneo ulilopo baada ya miezi 6 nitafute mkuu
Kutoa msaada au kujali watu wa karibu kunapaswa kuwa tabia ya msingi, si kwa matarajio ya malipo bali kwa sababu ni jambo sahihi.

Katika muktadha wa maadili ya kibinadamu unapaswa kujijenga katika;

🌑Uelewa wa mateso na hisia za wengine (empathy).

🌑Heshima kwa utu wa kila mtu.

🌑Uamuzi wa kufuata kile kilicho sahihi hata kama hakuna mtu anayekuona au kukulipa.

Hili linaitwa "maadili ya ndani" (intrinsic ethics) — ambapo matendo yako yanatoka ndani, si kwa sababu ya hofu ya kupoteza, Au kulipwa zawadi, au kutafuta sifa.

Na hii ndiyo nguzo halisi ya jamii yenye utu.

Unapomsaidia mwingine bila kutegemea chochote, unakuwa umechagua kuwa mtu bora – si kwa sababu dunia itakupa hongera, bali kwa sababu huwezi kuvumilia kuona mtu akiangamia wakati unaweza kusaidia.

Uadilifu wa kweli huanza pale mtu anapofanya lililo sahihi, hata kama hakuna anayeshuhudia.

Ndiyo maana upendo ni kanuni kuu ya kila Dini, falsafa na Itikadi ambapo hupatikana Sheria kuu isemayo "Watendee wengine sawa sawa na vile upendavyo kutendewa wewe".

Ukijijenga katika msingi wa kutoa ili ulipwe kwa namna fulani halafu ikawa inashindikana utakua ni mtu wa kupoteza matumaini[Hope] kila wakati.

Mstoiki.
 
2. Kusaidia wahitaji mfano yatima na wajane

3.Wazazi au walezi wako

4.Ujenzi au kuchangia kazi za Mungu mfano ujenzi wa nyumba za ibada.

Hii ndo njia halali ya kutoboa kimaisha, anza na ulichonacho
Nakubaliana na hayo matatu ,Fungu la 10 hauwezi kumpa Mwamposa au Mzee wa upako waende kununua V8.

Viongozi wa dini watumie sadaka za waamini zile mia mia ,mia mbili mia mbili ,mia tano mia tano ,lakini fungu la 10 hapana.
 
fanya hivi chukua 50000 peleka kanisani ama kulingana na imani yako, 40000 kwa wazazi ama walezi, 50000 makundi maalumu tenga laki 3 uanzishe biashara kulingana na eneo ulilopo baada ya miezi 6 nitafute mkuu
Hiyo 140000 atakayoigawa hovyo hovyo si bora aongezee kwenye mtaji wa biashara yake?

Tuseme mfano, ananunua baiskeli kkoo Tsh 50k.

Hiyo laki na nusu ya kugawa si anaweza akapata baiskeli 3
 
Hiyo 140000 atakayoigawa hovyo hovyo si bora aongezee kwenye mtaji wa biashara yake?

Tuseme mfano, ananunua baiskeli kkoo Tsh 50k.

Hiyo laki na nusu ya kugawa si anaweza akapata baiskeli 3
Hapana
 
Achana na hiZ habar mkuu kwasasa

Mzee that money inatosha kununua a Large white piglets ukaanza mradi wa kufunga nguruwe.
Kila mtu anavyoishi na watu tofauti kwa kipindi fulani anakua akichukua taharifa fulani, zile taharifa zinaathiri namna yake ya kufikiri au kuona mambo.

Watu tofauti kutoka sehemu tofauti wametofautiana jinsi ya kufikiri na kutizama mambo.

Na utofauti huu wa mitizamo ndiyo unawafanya watu wafit sehemu tofauti tofauti aidha Kiimani, Kikazi, Kibiashara, Kimahusiano, Kidini, Kifalsafa, Kitikadi, Kisiasa, Kielimu n.k

That's why yeye akifikiri kugawa tu pesa yake bure, wewe unafikiri kuwekeza kwenye ufugaji, Mimi nawaza kuiwekeza kwenye Bonds au UTT 😂

WE CAN'T CHANGE PEOPLE BROTHER BUT WE CAN CHANGE HOW THEY THINK.
 
Sema umejibu kama risala ya mgeni rasmi ndefuuuuuuuuuuuuuu isio lazima!!
Are you really a Stoic???😂😂
 
Umeandika vizuri ila umesahau baadhI ya mambo ambayo mm naona ni njia
DHAMBI.
Lazma kujiweka mbali na dhambi kama unataka mafanikio na dua yako itafika kwa Mungu
JITIHADA.
Katika kufanya kazi
MAOMBI NA SALA
hapa sidhani kama kunapaswa kusahaulika kabisa
 
Ni sahihi. Lakin sasa usiishi kwa kukwepa dhambi ukiwa na mentality ya kulipwa mafanikio. Ishi hivyo as part of your life kwamba ni jambo jema kwa binadam kuishi kulingana na uadilifu. Dont expect success jusg bcause you live right. You just live right ways and feel peace that way no matter what will come to pass.

never be entitled of certain outcomes.

Kumbuka pia HAKUNA ASIYEFANYA DHAMBI.hata ukikusudia kutofanya hivyo, utajikuta tu umefanya
 
Fingu la kumi nakataa kwa nguvu zote, ni wajanja waliweka ili wazidi kunyonya masikini. Ukitaka saidia masikini unaemfahamu na sio kupeleka kanisani.
 
Back
Top Bottom