nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
jikite katika uzi bossAmina [emoji1488]
Afadhali leo hujaja kulalamika 🙂
nimeanza naona matokeoWe unamiliki billion ngapi?View attachment 3356036
Fa ya wewe kwanza ufanikiwe1.Sadaka ya fungu la 10
2. Kusaidia wahitaji mfano yatima na wajane
3.Wazazi au walezi wako
4.Ujenzi au kuchangia kazi za Mungu mfano ujenzi wa nyumba za ibada.
Hii ndo njia halali ya kutoboa kimaisha, anza na ulichonacho
nimeanzaFa ya wewe kwanza ufanikiwe
Ni kweli Math 25:31..., Yak 1:27jikite katika uzi boss
Mkuu usibishie hata nuktaImani tu mkuu, unaweza kufanikiwa ama usifanikiwe pia.
ndio jibu la swali langu?nimeanza naona matokeo
fanya hivi chukua 50000 peleka kanisani ama kulingana na imani yako, 40000 kwa wazazi ama walezi, 50000 makundi maalumu tenga laki 3 uanzishe biashara kulingana na eneo ulilopo baada ya miezi 6 nitafute mkuuElezea kwa uzuri jinsi mambo hayo yanavyoweza kuleta mafanikio - Nahitaji kujifunza mchakato mzima.
Tuseme hapa nina laki5, niitumiaje ili niweze kufanikiwa kwa kutumia njia tajwa.
Sawa kwa bidii kama huna hayo juu sahau kutoboahizo hela za kugawa hivyo unatoa wapi?
hoja ya kwanza na ya muhimu ni ujifunze kuwa na bidii.