Kutoa msaada au kujali watu wa karibu kunapaswa kuwa tabia ya msingi, si kwa matarajio ya malipo bali kwa sababu ni jambo sahihi.fanya hivi chukua 50000 peleka kanisani ama kulingana na imani yako, 40000 kwa wazazi ama walezi, 50000 makundi maalumu tenga laki 3 uanzishe biashara kulingana na eneo ulilopo baada ya miezi 6 nitafute mkuu
Nakubaliana na hayo matatu ,Fungu la 10 hauwezi kumpa Mwamposa au Mzee wa upako waende kununua V8.2. Kusaidia wahitaji mfano yatima na wajane
3.Wazazi au walezi wako
4.Ujenzi au kuchangia kazi za Mungu mfano ujenzi wa nyumba za ibada.
Hii ndo njia halali ya kutoboa kimaisha, anza na ulichonacho
Nishaanza kuifanyia kazi na novena ya mtakati Rita wa kashia tafuta kitabu cake utanishukuru bureApeche alolo fursa hiyo yakutoboa
Usikae kinyongeπ
Hiyo 140000 atakayoigawa hovyo hovyo si bora aongezee kwenye mtaji wa biashara yake?fanya hivi chukua 50000 peleka kanisani ama kulingana na imani yako, 40000 kwa wazazi ama walezi, 50000 makundi maalumu tenga laki 3 uanzishe biashara kulingana na eneo ulilopo baada ya miezi 6 nitafute mkuu
kuna mavuno mkuu ukishatoa zinakujaYaani mambo ya kukumalizia mtaji wewe ndio unatuamunisha yataleta mafanikio
Achana na hiZ habar mkuu kwasasaElezea kwa uzuri jinsi mambo hayo yanavyoweza kuleta mafanikio - Nahitaji kujifunza mchakato mzima.
Mzee that money inatosha kununua a Large white piglets ukaanza mradi wa kufunga nguruwe.Tuseme hapa nina laki5, niitumiaje ili niweze kufanikiwa kwa kutumia njia tajwa.
Kila mtu anavyoishi na watu tofauti kwa kipindi fulani anakua akichukua taharifa fulani, zile taharifa zinaathiri namna yake ya kufikiri au kuona mambo.Achana na hiZ habar mkuu kwasasa
Mzee that money inatosha kununua a Large white piglets ukaanza mradi wa kufunga nguruwe.
Sema umejibu kama risala ya mgeni rasmi ndefuuuuuuuuuuuuuu isio lazima!!Kila mtu anavyoishi na watu tofauti kwa kipindi fulani anakua akichukua taharifa fulani, zile taharifa zinaathiri namna yake ya kufikiri au kuona mambo.
Watu tofauti kutoka sehemu tofauti wametofautiana jinsi ya kufikiri na kutizama mambo.
Na utofauti huu wa mitizamo ndiyo unawafanya watu wafit sehemu tofauti tofauti aidha Kiimani, Kikazi, Kibiashara, Kimahusiano, Kidini, Kifalsafa, Kitikadi, Kisiasa, Kielimu n.k
That's why yeye akifikiri kugawa tu pesa yake bure, wewe unafikiri kuwekeza kwenye ufugaji, Mimi nawaza kuiwekeza kwenye Bonds au UTT π
WE CAN'T CHANGE PEOPLE BROTHER BUT WE CAN CHANGE HOW THEY THINK.
Ni sahihi. Lakin sasa usiishi kwa kukwepa dhambi ukiwa na mentality ya kulipwa mafanikio. Ishi hivyo as part of your life kwamba ni jambo jema kwa binadam kuishi kulingana na uadilifu. Dont expect success jusg bcause you live right. You just live right ways and feel peace that way no matter what will come to pass.Umeandika vizuri ila umesahau baadhI ya mambo ambayo mm naona ni njia
DHAMBI.
Lazma kujiweka mbali na dhambi kama unataka mafanikio na dua yako itafika kwa Mungu
JITIHADA.
Katika kufanya kazi
MAOMBI NA SALA
hapa sidhani kama kunapaswa kusahaulika kabisa
May be kwasababu hua nasoma books zenye pages 150, 300... ndiyo mana naandika sana na bado huwa naona kama haijatosha ππSema umejibu kama risala ya mgeni rasmi ndefuuuuuuuuuuuuuu isio lazima!!
Yes for sure.Are you really a Stoic???ππ
I love stoicism. Marcus Aurelius, Seneca and the likes..Yes for sure.