Wakuu habari zenu.
Nimekuwa katika mapenzi na dada mmoja hivi sasa tunaelekea mwaka wa pili huu. Sijawahi kumkwaza kufikia hatua ya labda kuninunia week au siku kadhaa hivi. kifupi mimi ni muumini wa uaminifu katika mapenzi (though hii imenicost ktk relation zilizopita ila sitaki kuzungumzia hilo).
Ila yeye amekuwa akinikwaza sana hasa katika jambo zima la matumizi ya simu. Utakuta hatujaonana labda week lakini siku tutakapoonana hata kama ninashinda nae siku nzima yeye yupo busy muda wote na simu yake akichat watsapp na social networks nyingine. Sawa ninaweza kuonekana nina wivu ila hatambui kuwa ni muda mrefu hatujaonana anitengee muda wangu tuongee na kufurahi pamoja sasa yeye yuko busy tu anafesibuka.
Jambo jingine ni yeye kuwa muwazi kwangu kila afanyapo kosa lolote mfano akilewa tu lazima anipigie simu kuniomba msamaha kuwa mpenzi wangu nimelewa nakuomba unisamehee...hii inamaanisha nini wakuu? Ni kwamba ananipenda au ni geresha tu! Kingine kila mwanaume anayemtongoza lazima aniambie me hata huwa simfuatilii ila najua kutokana na yeye anavyoniambia...what does it mean??
Is she really love me...or should I take a leave in this relationship because of the way she is busy with her gadget? Wakuu naomba mawazo yenu without insultation.
Natanguliza shukrani
Wa peke ako ni ngumu kwakweli labda utoboe mgomba...
Kama unajitambua, na unatafuta wa kufanana na wewe wa pekee yako utampata, wapo wengi tu mabinti wametulia. Mabint wa 24yrs siku hizi wanajiona bado wadogo sana, labda mwenzio anakuchukulia wakupita tu, hamna future yoyote pamoja ndo maana ana-act hivyo.Dah sasa lini nitapata wa peke yangu mbona majangaaa!!
Wa peke yako inawezekana kabisa na wapo wengi tuu, shida watu wana- generalize. kwakua yeye mke/mme wa mtu na rafiki zake wanamichepuko basi wanasema ni lazima kila binadamu anamchepuko, sio kweli.sijui kwa mume lakini mke wa pekee yako inawezeka.Kweli kwa miaka yaleo kuwa na mwanamke wa peke yako ni ngumu
Hata sisi wanaume bado unakuta tuna michepuko
. Kazi kweli kweli.
bidada ana dharau za hali ya juu na inaelekea mtoa mada kawekwa kiganjani
..usimalize kwanza, fanya editing ya hii manake hata kituo, mkato hamna...aaah!kaka kuna dem mmoja alikua hvyo hvyo mara rafiki yakio kantongoza mara hv kipind hicho mm nipo dar chuo mara aniambie nimeambiwa hurudi kazini kwako huku mkoani mara vile kipind hcho nshamzalisha mtoto mmoja kumbe bwana wakati nipo chuo namtumia rafik yangu matumiz ampelekee wewe kumbe kuna mngese mmoja kila rafik akienda anamkuta mhhhhh mwana naye akaona kumbe shemej jamv la wagen kipindi tunafunga semister nikaenda likizo kwa vile tulikua tunaishi mbalimbali nikaenda kwakushtukiza ww achaaa yy ni mwlimu mda nimefika kwake yy yupo darasan kuingia chumbani hamad condom kwny dresing table imetumika mamaeeee zake just imagine nlikua nshazaa nae na kwao natambulika na kwetu wanamjua ww ntamalizia baadae subiri nkaoge.
hajawekwa kiganjani ni kwamba kuwa decent ndo tatizo kwake na inaonekana hajajua bado jinsi ya kutumia uanaume wake kwa wanawake interms of making decision.... ushaur wangu ni kwamba inatakiwa uwe harsh ktk vtu vya kipuuz na ambavyo huvifurahii na inatakiwa ufanye maamuz magumu ikiwezekana (achana nae ikibidi) we ni dume u can find any gal u like unless otherwise una interest zako kwa huyo mwanamke.... kumbuka mwanamke atakaeshndwa kuendana princple zako si mwanamke wa kukaa naye huyo
Wa peke ako ni ngumu kwakweli labda utoboe mgomba...
dah kwa michango yenu wanabodi naona hypothesis yangu ni alternative hypothesis...najaribu kumpa last warning akishindwa i will choose to go kwakweli!!
Hili la kuchat au kuwa busy mie pia linaniuzi sna, na hili kwa wanaume na wanaake kwa nini hatujaliani? Tena utakuta katikati ya mlo mtu anapokekea simu. Yaani hakuna respect kabisa hasa mkiwa wawili. Nile tabia ya kukaa na simu mezani. na simu. Wengi wetu linapokuja kuja swala la kuwa romantic inakuwa issue.
Miaka 24..Ndio nilimkataza asilewe, na nilimueleza kama atakuwa na hamu na pombe aniambie nimtoe out mwenyewe...na hua namtoa out mara kwa mara.
Huko social network sijui anachart na nani kwa sababu hua sitaki kushika simu yake na kupekua.
Wewe una visa, khaa!. He he he...Wa peke ako ni ngumu kwakweli labda utoboe mgomba...
Kweli kwa miaka yaleo kuwa na mwanamke wa peke yako ni ngumu
Hata sisi wanaume bado unakuta tuna michepuko
. Kazi kweli kweli.
Ukichoose to go naomba ucome....Dah kwa michango yenu wanabodi naona hypothesis yangu ni Alternative hypothesis...najaribu kumpa last warning akishindwa I will choose to go kwakweli!!