Ukifanyiwa hivi na mwanamke inamaanisha nini haswa?

Ukifanyiwa hivi na mwanamke inamaanisha nini haswa?

kaka ogopa sana mwanamke wa kukuambia flani kantongoza hawafai hyo nikama anajilinda na hyo dhana anapolewa mnakua wote hv hujiongezi sasa umemkataza pombe lakini anakunywa na anakuomba msamaha arudia kuwa makini sana je wanao mla papuchi unadhani atakuambie huo ni mcharuko mkuu .
 
Wakuu habari zenu.

Nimekuwa katika mapenzi na dada mmoja hivi sasa tunaelekea mwaka wa pili huu. Sijawahi kumkwaza kufikia hatua ya labda kuninunia week au siku kadhaa hivi. kifupi mimi ni muumini wa uaminifu katika mapenzi (though hii imenicost ktk relation zilizopita ila sitaki kuzungumzia hilo).

Ila yeye amekuwa akinikwaza sana hasa katika jambo zima la matumizi ya simu. Utakuta hatujaonana labda week lakini siku tutakapoonana hata kama ninashinda nae siku nzima yeye yupo busy muda wote na simu yake akichat watsapp na social networks nyingine. Sawa ninaweza kuonekana nina wivu ila hatambui kuwa ni muda mrefu hatujaonana anitengee muda wangu tuongee na kufurahi pamoja sasa yeye yuko busy tu anafesibuka.

Jambo jingine ni yeye kuwa muwazi kwangu kila afanyapo kosa lolote mfano akilewa tu lazima anipigie simu kuniomba msamaha kuwa mpenzi wangu nimelewa nakuomba unisamehee...hii inamaanisha nini wakuu? Ni kwamba ananipenda au ni geresha tu! Kingine kila mwanaume anayemtongoza lazima aniambie me hata huwa simfuatilii ila najua kutokana na yeye anavyoniambia...what does it mean??

Is she really love me...or should I take a leave in this relationship because of the way she is busy with her gadget? Wakuu naomba mawazo yenu without insultation.

Natanguliza shukrani

Hili la kuchat au kuwa busy mie pia linaniuzi sna, na hili kwa wanaume na wanaake kwa nini hatujaliani? Tena utakuta katikati ya mlo mtu anapokekea simu. Yaani hakuna respect kabisa hasa mkiwa wawili. Nile tabia ya kukaa na simu mezani. na simu. Wengi wetu linapokuja kuja swala la kuwa romantic inakuwa issue.
 
kaka kuna dem mmoja alikua hvyo hvyo mara rafiki yakio kantongoza mara hv kipind hicho mm nipo dar chuo mara aniambie nimeambiwa hurudi kazini kwako huku mkoani mara vile kipind hcho nshamzalisha mtoto mmoja kumbe bwana wakati nipo chuo namtumia rafik yangu matumiz ampelekee wewe kumbe kuna mngese mmoja kila rafik akienda anamkuta mhhhhh mwana naye akaona kumbe shemej jamv la wagen kipindi tunafunga semister nikaenda likizo kwa vile tulikua tunaishi mbalimbali nikaenda kwakushtukiza ww achaaa yy ni mwlimu mda nimefika kwake yy yupo darasan kuingia chumbani hamad condom kwny dresing table imetumika mamaeeee zake just imagine nlikua nshazaa nae na kwao natambulika na kwetu wanamjua ww ntamalizia baadae subiri nkaoge.
 
Wa peke ako ni ngumu kwakweli labda utoboe mgomba...

Kweli kwa miaka yaleo kuwa na mwanamke wa peke yako ni ngumu
Hata sisi wanaume bado unakuta tuna michepuko
. Kazi kweli kweli.
 
Dah sasa lini nitapata wa peke yangu mbona majangaaa!!
Kama unajitambua, na unatafuta wa kufanana na wewe wa pekee yako utampata, wapo wengi tu mabinti wametulia. Mabint wa 24yrs siku hizi wanajiona bado wadogo sana, labda mwenzio anakuchukulia wakupita tu, hamna future yoyote pamoja ndo maana ana-act hivyo.
 
Kweli kwa miaka yaleo kuwa na mwanamke wa peke yako ni ngumu
Hata sisi wanaume bado unakuta tuna michepuko
. Kazi kweli kweli.
Wa peke yako inawezekana kabisa na wapo wengi tuu, shida watu wana- generalize. kwakua yeye mke/mme wa mtu na rafiki zake wanamichepuko basi wanasema ni lazima kila binadamu anamchepuko, sio kweli.sijui kwa mume lakini mke wa pekee yako inawezeka.
 
bidada ana dharau za hali ya juu na inaelekea mtoa mada kawekwa kiganjani

hajawekwa kiganjani ni kwamba kuwa decent ndo tatizo kwake na inaonekana hajajua bado jinsi ya kutumia uanaume wake kwa wanawake interms of making decision.... ushaur wangu ni kwamba inatakiwa uwe harsh ktk vtu vya kipuuz na ambavyo huvifurahii na inatakiwa ufanye maamuz magumu ikiwezekana (achana nae ikibidi) we ni dume u can find any gal u like unless otherwise una interest zako kwa huyo mwanamke.... kumbuka mwanamke atakaeshndwa kuendana princple zako si mwanamke wa kukaa naye huyo
 
kaka kuna dem mmoja alikua hvyo hvyo mara rafiki yakio kantongoza mara hv kipind hicho mm nipo dar chuo mara aniambie nimeambiwa hurudi kazini kwako huku mkoani mara vile kipind hcho nshamzalisha mtoto mmoja kumbe bwana wakati nipo chuo namtumia rafik yangu matumiz ampelekee wewe kumbe kuna mngese mmoja kila rafik akienda anamkuta mhhhhh mwana naye akaona kumbe shemej jamv la wagen kipindi tunafunga semister nikaenda likizo kwa vile tulikua tunaishi mbalimbali nikaenda kwakushtukiza ww achaaa yy ni mwlimu mda nimefika kwake yy yupo darasan kuingia chumbani hamad condom kwny dresing table imetumika mamaeeee zake just imagine nlikua nshazaa nae na kwao natambulika na kwetu wanamjua ww ntamalizia baadae subiri nkaoge.
..usimalize kwanza, fanya editing ya hii manake hata kituo, mkato hamna...aaah!
 
Umenena mkuu.

Ndugu hapo huna chako kwa zaidi ya asilimia 90. Mwenzio bado anahisi yeye ni kigoli na atapata mtu bora zaidi yako,pia inaonekana ni mtu wa kuliakulia kwake ndio maana anakuchukulia poa.Wanawake ni wa kupeleka kibabe mkuu na hicho ndio wanachotaka otherwise utaumia.Piga chini huyo fasta,hamna mtu humo
hajawekwa kiganjani ni kwamba kuwa decent ndo tatizo kwake na inaonekana hajajua bado jinsi ya kutumia uanaume wake kwa wanawake interms of making decision.... ushaur wangu ni kwamba inatakiwa uwe harsh ktk vtu vya kipuuz na ambavyo huvifurahii na inatakiwa ufanye maamuz magumu ikiwezekana (achana nae ikibidi) we ni dume u can find any gal u like unless otherwise una interest zako kwa huyo mwanamke.... kumbuka mwanamke atakaeshndwa kuendana princple zako si mwanamke wa kukaa naye huyo
 
Dah kwa michango yenu wanabodi naona hypothesis yangu ni Alternative hypothesis...najaribu kumpa last warning akishindwa I will choose to go kwakweli!!
 
Namjua uyo kaka me niliachana nae kwa tabia izo izo.sio muaminifu hata kidogo uyo bint c yule wa sinza ?
 
Chatting ni adfiction kama vile watu walivyoaddicted na JF. Sijajiunga na miwatsupp hivyo siwezi semea sana. Ongea naye ikibidi mkubaliane kuzima simu muwapo pamoja.

Kuhusu kuwa muwazi sana, ni utoto tu na waweza tafsiri kuwa anakupenda. Ongea na dada yake amuelimishe kwamba si vyema kuweka wazi juu ya wanaume wanaomtongoza (najua huwa inawapunguzia sana confidence hii).

Overall haya mambo yanatatulika na sio ya kuvunja mahusiano.
 
Hili la kuchat au kuwa busy mie pia linaniuzi sna, na hili kwa wanaume na wanaake kwa nini hatujaliani? Tena utakuta katikati ya mlo mtu anapokekea simu. Yaani hakuna respect kabisa hasa mkiwa wawili. Nile tabia ya kukaa na simu mezani. na simu. Wengi wetu linapokuja kuja swala la kuwa romantic inakuwa issue.

Waambie, ni wengi sana wako na simu 24/7. Hata humu wamo, ndio unajiuliza ni muda gani anasocialize na watu physically maana muda wote ni JF. It is just an addiction inayoweza kuwa rectified na sio sababu ya kutosha kuvunja mahusiano kama ambavyo watu wanamshauri.
 
Miaka 24..Ndio nilimkataza asilewe, na nilimueleza kama atakuwa na hamu na pombe aniambie nimtoe out mwenyewe...na hua namtoa out mara kwa mara.

Huko social network sijui anachart na nani kwa sababu hua sitaki kushika simu yake na kupekua.

Aisee huwa inaboa mtu uko nae ye anakuwa busy na sim
 
Kweli kwa miaka yaleo kuwa na mwanamke wa peke yako ni ngumu
Hata sisi wanaume bado unakuta tuna michepuko
. Kazi kweli kweli.

Wanawake wengi wanajua kuwapanga kwa foleni.
 
Back
Top Bottom