Ukifanyiwa hivi na mwanamke inamaanisha nini haswa?

Kaka hapo sio likizo tuu, fikiria vzuri, usitumie nguvu nyingi sana, kuna kitu tofauti na penzi ambalo bado linamuweka siku akilikosa tuu,,,,,,,, utaona manyoya....
Tafuta mwingine ,,,,
 
upokee ushauri na upambanue na serikari ya kichwa chako. Usije ukaxema nilimwacha huku nampenda.
 
Pablo umenichekesha sana ila pole na yalitokea. Ennhe malizia basi story
 
Miaka 24..Ndio nilimkataza asilewe, na nilimueleza kama atakuwa na hamu na pombe aniambie nimtoe out mwenyewe...na hua namtoa out mara kwa mara.

Huko social network sijui anachart na nani kwa sababu hua sitaki kushika simu yake na kupekua.

Mkuu, mchuchu ana miaka 24, wewe una umri gani? Nikipata umri wako ndio naweza nikabawabu ( fikiri) nikatoa mchango wangu. Lkn dah...huo umri wa mchumba wako pasua moyo kwenye mahusiano.
 
Inawezekana anakutengenezea mazingira ili usiwe na wasi nae, naweza sema pengine anae mtu mwingine mbali na wewe huwezi jua
 
Mkuu, mchuchu ana miaka 24, wewe una umri gani? Nikipata umri wako ndio naweza nikabawabu ( fikiri) nikatoa mchango wangu. Lkn dah...huo umri wa mchumba wako pasua moyo kwenye mahusiano.

Mkuu me nina 28, umri ni pasua moyo kwa sababu gani??
 

mapenzi sio vita, Kama hakieleweki unampa mtu live naye anachagua moja, kubadilika/ kujiengua

Then mapenzi ni maelewenao sio Kupelekeshana kama tuko kwenye gwaride la 26th April
 

Mueleze vle unavyokereka ,Asipobadilika Fanya utafiti utapata jibu la maswali yako yooooote!
 
Fuatilia nyendo zake kwa makini sana ili upate hitimisho,ila mpah hapo kwa kweli hiyo picha steling sherkhan anafia kwenye maua bimaana dalili zaonesha wazi huyo ni msanii wa maigizo pasina script wala video camera
 
alishawahi kukwambia kuwa mpnz wangu leo nimegegedwa?kama bado muongo huyo na tapeli.
 
unatikiwa akija kwako unamshughulisha mpk akose huo muda wa kuchat na hao mabahau wake,pole, kuwa makini na mchunguze bila yeye kujua...utaumia ohooooo!!
 
Jamaa yangu kuwa makini sana na huyo mtu cyo mzuri kwako hata kidogo, na kama uko na ahueni kipesa tegemea kulea mimba isiyo yako na mtoto asiyekuwa wako.HAAAAAAAAAAFAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAI KABISA HUYO MWANAMKE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…