Ukifanyiwa hivi na mwanamke inamaanisha nini haswa?

Ukifanyiwa hivi na mwanamke inamaanisha nini haswa?

Kaka hapo sio likizo tuu, fikiria vzuri, usitumie nguvu nyingi sana, kuna kitu tofauti na penzi ambalo bado linamuweka siku akilikosa tuu,,,,,,,, utaona manyoya....
Tafuta mwingine ,,,,
 
upokee ushauri na upambanue na serikari ya kichwa chako. Usije ukaxema nilimwacha huku nampenda.
 
kaka kuna dem mmoja alikua hvyo hvyo mara rafiki yakio kantongoza mara hv kipind hicho mm nipo dar chuo mara aniambie nimeambiwa hurudi kazini kwako huku mkoani mara vile kipind hcho nshamzalisha mtoto mmoja kumbe bwana wakati nipo chuo namtumia rafik yangu matumiz ampelekee wewe kumbe kuna mngese mmoja kila rafik akienda anamkuta mhhhhh mwana naye akaona kumbe shemej jamv la wagen kipindi tunafunga semister nikaenda likizo kwa vile tulikua tunaishi mbalimbali nikaenda kwakushtukiza ww achaaa yy ni mwlimu mda nimefika kwake yy yupo darasan kuingia chumbani hamad condom kwny dresing table imetumika mamaeeee zake just imagine nlikua nshazaa nae na kwao natambulika na kwetu wanamjua ww ntamalizia baadae subiri nkaoge.
Pablo umenichekesha sana ila pole na yalitokea. Ennhe malizia basi story
 
Miaka 24..Ndio nilimkataza asilewe, na nilimueleza kama atakuwa na hamu na pombe aniambie nimtoe out mwenyewe...na hua namtoa out mara kwa mara.

Huko social network sijui anachart na nani kwa sababu hua sitaki kushika simu yake na kupekua.

Mkuu, mchuchu ana miaka 24, wewe una umri gani? Nikipata umri wako ndio naweza nikabawabu ( fikiri) nikatoa mchango wangu. Lkn dah...huo umri wa mchumba wako pasua moyo kwenye mahusiano.
 
Inawezekana anakutengenezea mazingira ili usiwe na wasi nae, naweza sema pengine anae mtu mwingine mbali na wewe huwezi jua
 
Mkuu, mchuchu ana miaka 24, wewe una umri gani? Nikipata umri wako ndio naweza nikabawabu ( fikiri) nikatoa mchango wangu. Lkn dah...huo umri wa mchumba wako pasua moyo kwenye mahusiano.

Mkuu me nina 28, umri ni pasua moyo kwa sababu gani??
 
daaa kuna wanaume aisee mim huwa sijui nawachukuliaje yaaani mambo mengine mnaletewa na wanawake zetu kama Salam za toka lakini mnajifanya uzungu mwingi mnawaganda matokeo yake mnafanyiwa mambo ya ajabu sana .

ndio maana mm siwezi kabisa mapenzi yenu yakuigiza igiza na mwanamke akiniketea mapicha picha ya kimapenzi kabla hata hajamaliza tamthilia zake anakutana na maamuzi yakiume.

mwanamke sio wakumchekea hata kidogo aisee.

ujue vijana wenzangu sasa hivi wengi mmelegea sana Hamna msimamo maamuzi hakuna mpaka wanawake wanawapanda vichwani nyie mpooo tuu kama misukule

mapenzi sio vita, Kama hakieleweki unampa mtu live naye anachagua moja, kubadilika/ kujiengua

Then mapenzi ni maelewenao sio Kupelekeshana kama tuko kwenye gwaride la 26th April
 
Wakuu habari zenu.

Nimekuwa katika mapenzi na dada mmoja hivi sasa tunaelekea mwaka wa pili huu. Sijawahi kumkwaza kufikia hatua ya labda kuninunia week au siku kadhaa hivi. kifupi mimi ni muumini wa uaminifu katika mapenzi (though hii imenicost ktk relation zilizopita ila sitaki kuzungumzia hilo).

Ila yeye amekuwa akinikwaza sana hasa katika jambo zima la matumizi ya simu. Utakuta hatujaonana labda week lakini siku tutakapoonana hata kama ninashinda nae siku nzima yeye yupo busy muda wote na simu yake akichat watsapp na social networks nyingine. Sawa ninaweza kuonekana nina wivu ila hatambui kuwa ni muda mrefu hatujaonana anitengee muda wangu tuongee na kufurahi pamoja sasa yeye yuko busy tu anafesibuka.

Jambo jingine ni yeye kuwa muwazi kwangu kila afanyapo kosa lolote mfano akilewa tu lazima anipigie simu kuniomba msamaha kuwa mpenzi wangu nimelewa nakuomba unisamehee...hii inamaanisha nini wakuu? Ni kwamba ananipenda au ni geresha tu! Kingine kila mwanaume anayemtongoza lazima aniambie me hata huwa simfuatilii ila najua kutokana na yeye anavyoniambia...what does it mean??

Is she really love me...or should I take a leave in this relationship because of the way she is busy with her gadget? Wakuu naomba mawazo yenu without insultation.

Natanguliza shukrani

Mueleze vle unavyokereka ,Asipobadilika Fanya utafiti utapata jibu la maswali yako yooooote!
 
Fuatilia nyendo zake kwa makini sana ili upate hitimisho,ila mpah hapo kwa kweli hiyo picha steling sherkhan anafia kwenye maua bimaana dalili zaonesha wazi huyo ni msanii wa maigizo pasina script wala video camera
 
alishawahi kukwambia kuwa mpnz wangu leo nimegegedwa?kama bado muongo huyo na tapeli.
 
unatikiwa akija kwako unamshughulisha mpk akose huo muda wa kuchat na hao mabahau wake,pole, kuwa makini na mchunguze bila yeye kujua...utaumia ohooooo!!
 
Jamaa yangu kuwa makini sana na huyo mtu cyo mzuri kwako hata kidogo, na kama uko na ahueni kipesa tegemea kulea mimba isiyo yako na mtoto asiyekuwa wako.HAAAAAAAAAAFAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAI KABISA HUYO MWANAMKE.
 
Back
Top Bottom