daaa kuna wanaume aisee mim huwa sijui nawachukuliaje yaaani mambo mengine mnaletewa na wanawake zetu kama Salam za toka lakini mnajifanya uzungu mwingi mnawaganda matokeo yake mnafanyiwa mambo ya ajabu sana .
ndio maana mm siwezi kabisa mapenzi yenu yakuigiza igiza na mwanamke akiniketea mapicha picha ya kimapenzi kabla hata hajamaliza tamthilia zake anakutana na maamuzi yakiume.
mwanamke sio wakumchekea hata kidogo aisee.
ujue vijana wenzangu sasa hivi wengi mmelegea sana Hamna msimamo maamuzi hakuna mpaka wanawake wanawapanda vichwani nyie mpooo tuu kama misukule