Ukifika wakati wa kuachana sio lazima mgombane

Ukifika wakati wa kuachana sio lazima mgombane

Inategemea na wewe ulieleta suala la kuachana umeliwasilisha vipi, mnagawana vipi kama ni mbia, je kuna kitu umefanya kisa ukaanzisha misukosuko ya kuachana?
Kama unataka kuachana ili kumuumiza mtu kwasababu wewe una uwezo fulani basi jua unaweza kuumia vibaya ktk vita hiyo.
 
Point [emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
Hii mambo wanaojua ni wachache sana! Niliachana na mwenzie wangu ila alinisema vibaya sana! nami nilipiga kimya mpaka kesho hawez sikia neno lolote mbovu kwangu.
 
Back
Top Bottom