Inategemea na wewe ulieleta suala la kuachana umeliwasilisha vipi, mnagawana vipi kama ni mbia, je kuna kitu umefanya kisa ukaanzisha misukosuko ya kuachana?
Kama unataka kuachana ili kumuumiza mtu kwasababu wewe una uwezo fulani basi jua unaweza kuumia vibaya ktk vita hiyo.