Ukifikisha miaka 35 jitahidi uanze kuwekeza katika biashara ambazo zina risk ndogo.

Kumbe ualimu ni kazi ya kimasikini😳
Kuna Uzi humu watu wanamlilia mkenda kisa mchujo.
 
Kumbe ualimu ni kazi ya kimasikini😳
Kuna Uzi humu watu wanamlilia mkenda kisa mchujo.
Nimekuja gundua humu wengi waropokaji afu hamna kitu ndo maana wengi kuonana na mtu ngumu.......

Ualimu una shida gani kwani, mfano private schools bidii yako tuu inakupa shavu la maana, wapo waalimu wamepewa mpk ndinga, mtaji kisa kufundisha vzr

Sasa kazi ya kimaskini akae na mwanae nyumbn matajiri....

Wengine washenzi achana nao
 
Huyo jamaa ni muhaya, wahaya wengi wapo TRA
 
Dah!!
Za kuambiwa changanya na zako
 
Nyie watoto mliokuwa spoon fed in each and every conner of life hamjui maisha.

Maisha ukiishi kwa kuangalia umri na mafanikio uliyonayo au unayotarajia.Unajitafutia msongo wa mawazo mkubwa kupelekea changamoto za afya ya akili!!!

Be humble kijana wewe ukute hujui hata bei ya kusimamisha boma la nyumba alafu unaongea vitu vya kufikirika. Hayo mambo ya motivational speakers yasikilize ila changanya na za kwako.
 
Mzee wangu alikuwa ni mfanyakazi katika hotel .

So alikuwa kitengo cha manunuzi na ukizingatia alikuwa amesoma kufika form six so ilikuwa rahisi yeye kupata nafasi nzuri .

Miaka ya late 80s
Kwa sisi majobless tulio 30+ unatushauri vipi ili tuweze kumuenzi mzee
 
Watu tu wanaleta makasiriko ila kwa ukweli ni kuwa ukiwa na miaka 35 inatakiwa uwe na asset inayoeleweka hasa ardhi.

Zipo ardhi zinauzwa bei ndogo sana hadi laki nne na vijana wanauwezo wa kununua ila hawana mpango nazo hapo baada ya miaka 10 zitakuwa bei ghali sana na wataanza kujutia why hawakununua kipindi hichi.

Mfano hapo Kibaha tu baada ya miaka 5 vijana wengi watajuta kwanini hawakununua hivyo viwanja. Vitapanda bei ghafla sana na hawataamini
 
Pambana utoke kwenye hiyo comfort zone Mkuu acha lawama πŸ˜‚
 
Watu mnadharau daaah umetaja vya Mzee wako hebu tuambie na ww una nyumba ngap
 
Whabeja sana nkulu.
 
Pambana utoke kwenye hiyo comfort zone Mkuu acha lawama πŸ˜‚
Sijamlaumu mtu nimekupa real deal I am a hustler.Mimi nina worth millions assets na kwenye account nina pesa za kutosha.Sasa sijui maskini kama wewe utanieleza nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…