Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
ccm walivokuwa wajinga wanaweza kuendelea kukaa.kama mtu anatukana alafu anakwambia anatania we unazani huyo hata tokaChukulia huu mfano:-
Dada yako ameolewa na John, na wakabahatika kupata watoto wawili; na watoto hao wanasoma shule ya msingi bweni.
Baada ya siku kadhaa, dada yako akaugua na umauti ukamkuta; mkafanya taratibu za mazishi na mkakamilisha.
Sasa John (mmewe dada yako) ameshindwa kuvumilia maisha ya upweke, na ameamua kuanza harakati za kutafuta chimbo jipya.
Swali; Je ushemeji wenu kwa John utaendelea, na je utakuwa na nguvu kama pale awali?
Nice kweshenUkifiwa na mkeo ushemeji kwa kaka zake unakufa?
Kiuhalisia unakuwa hauna nguvu, hasa ukishaoa tena kwingineUkifiwa na mkeo ushemeji kwa kaka zake unakufa?
Kwa maisha ya sasa, utakuwa na nguvu kama mwanzoni?Hapana
Watasema futa kauli, ingawa ujumbe uliokusudiwa ulishafikaccm walivokuwa wajinga wanaweza kuendelea kukaa.kama mtu anatukana alafu anakwambia anatania we unazani huyo hata toka
Na wale watoto wa dada yako ujomba na wewe unakufa?Chukulia huu mfano:-
Dada yako ameolewa na John, na wakabahatika kupata watoto wawili; na watoto hao wanasoma shule ya msingi bweni.
Baada ya siku kadhaa, dada yako akaugua na umauti ukamkuta; mkafanya taratibu za mazishi na mkakamilisha.
Sasa John (mmewe dada yako) ameshindwa kuvumilia maisha ya upweke, na ameamua kuanza harakati za kutafuta chimbo jipya.
Swali; Je ushemeji wenu kwa John utaendelea, na je utakuwa na nguvu kama pale awali?
Yote sawa, aya turudi kwenye madaKwanini mimi nisiwe ndo nimeoa dada wa John halafu afariki?
mtu kama lucas huyu wa JF we unafikiri yupo wapi si kwa dada yakeWatasema futa kauli, ingawa ujumbe uliokusudiwa ulishafika
Unaweza ukawepo, ingawa kwa mazingira ya kisasa unaweza usiwe na nguvu; vinginevyo labda wakalelewe kwa wajomba.Na wale watoto wa dada yako ujomba na wewe unakufa?
Kufa utakufa tu bila kujali nani anamuoa nani..!! Watu kutolewa mifano ya kufa kufa mnaogopa utadhani mnakufa kweli..!!Kwanini mimi nisiwe ndo nimeoa dada wa John halafu afariki?
Sasa dada akiondoka,inakuwaje?mtu kama lucas huyu wa JF we unafikiri yupo wapi si kwa dada yake
Kama kuna watoto, ushemeji na ukaribu lazima uendelee kuwepo. Ila kama hawakubahatika kupata watoto mtaendelea kuwa watu mnaofahamiana, zaidi itategemea na ukaribu uliokuwepo kabla.Chukulia huu mfano:-
Dada yako ameolewa na John, na wakabahatika kupata watoto wawili; na watoto hao wanasoma shule ya msingi bweni.
Baada ya siku kadhaa, dada yako akaugua na umauti ukamkuta; mkafanya taratibu za mazishi na mkakamilisha.
Sasa John (mmewe dada yako) ameshindwa kuvumilia maisha ya upweke, na ameamua kuanza harakati za kutafuta chimbo jipya.
Swali; Je ushemeji wenu kwa John utaendelea, na je utakuwa na nguvu kama pale awali?
anageuzwa mke ili kukizi majukumu ya marehemu dada yakeSasa dada akiondoka,inakuwaje?
Je wazazi wa mkewe watakuwa na sauti yoyote kwa mkwewe?Ushemeji unaishia pale pale!
Na kama sikosei ikiwa hajaolewa anaweza kuchukua nafasi ya dada yake(marehemu) kama mme wa marehemu ataridhia.
Otherwise Mme yuko huru kuoa kwingine.