Ukifiwa na dada yako, Je ushemeji kwa mumewe utaendelea?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Chukulia huu mfano:-

Dada yako ameolewa na John, na wakabahatika kupata watoto wawili; na watoto hao wanasoma shule ya msingi bweni.
Baada ya siku kadhaa, dada yako akaugua na umauti ukamkuta; mkafanya taratibu za mazishi na mkakamilisha.

Sasa John (mmewe dada yako) ameshindwa kuvumilia maisha ya upweke, na ameamua kuanza harakati za kutafuta chimbo jipya.

Swali; Je ushemeji wenu kwa John utaendelea, na je utakuwa na nguvu kama pale awali?​
 
ccm walivokuwa wajinga wanaweza kuendelea kukaa.kama mtu anatukana alafu anakwambia anatania we unazani huyo hata toka
 
Chukulia huu mfano:-

Dada yako ameolewa na John, na wakabahatika kupata watoto wawili; na watoto hao wanasoma shule ya msingi bweni.
Baada ya siku kadhaa, dada yako akaugua na umauti ukamkuta; mkafanya taratibu za mazishi na mkakamilisha.

Sasa John (mmewe dada yako) ameshindwa kuvumilia maisha ya upweke, na ameamua kuanza harakati za kutafuta chimbo jipya.

Swali; Je ushemeji wenu kwa John utaendelea, na je utakuwa na nguvu kama pale awali?​
Na wale watoto wa dada yako ujomba na wewe unakufa?
 
Ushemeji unaishia pale pale!
Na kama sikosei ikiwa hajaolewa anaweza kuchukua nafasi ya dada yake(marehemu) kama mme wa marehemu ataridhia.
Otherwise Mme yuko huru kuoa kwingine.
 
Chukulia huu mfano:-

Dada yako ameolewa na John, na wakabahatika kupata watoto wawili; na watoto hao wanasoma shule ya msingi bweni.
Baada ya siku kadhaa, dada yako akaugua na umauti ukamkuta; mkafanya taratibu za mazishi na mkakamilisha.

Sasa John (mmewe dada yako) ameshindwa kuvumilia maisha ya upweke, na ameamua kuanza harakati za kutafuta chimbo jipya.

Swali; Je ushemeji wenu kwa John utaendelea, na je utakuwa na nguvu kama pale awali?​
Kama kuna watoto, ushemeji na ukaribu lazima uendelee kuwepo. Ila kama hawakubahatika kupata watoto mtaendelea kuwa watu mnaofahamiana, zaidi itategemea na ukaribu uliokuwepo kabla.
 
Ushemeji unaishia pale pale!
Na kama sikosei ikiwa hajaolewa anaweza kuchukua nafasi ya dada yake(marehemu) kama mme wa marehemu ataridhia.
Otherwise Mme yuko huru kuoa kwingine.
Je wazazi wa mkewe watakuwa na sauti yoyote kwa mkwewe?
 
Kwa hiyo mkuu utaacha kufuatilia maendeleo ya watoto wa marehemu dada yako?..

Binafsi sina mazoea na mashemeji ila watoto wakishaingia kwenye picha. Hata kama haziivi ni lazma muwe mna hata salamu kwa ajili ya watoto mkuu
 
Back
Top Bottom