Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Chukulia huu mfano:-
Dada yako ameolewa na John, na wakabahatika kupata watoto wawili; na watoto hao wanasoma shule ya msingi bweni.
Baada ya siku kadhaa, dada yako akaugua na umauti ukamkuta; mkafanya taratibu za mazishi na mkakamilisha.
Sasa John (mmewe dada yako) ameshindwa kuvumilia maisha ya upweke, na ameamua kuanza harakati za kutafuta chimbo jipya.
Swali; Je ushemeji wenu kwa John utaendelea, na je utakuwa na nguvu kama pale awali?