Ukifuata life style ya Hayati Magufuli au Nyerere, kwa karne hii huwezi kuishi maisha marefu

Kanuni za kuongoza nchi ni mbili tu utaongoza salama utaishi miaka mingi ya raha na huru kama mzee Mwinyi na Kikwete.
1.Usiwaguse mkono wakuu wa dunia hii
2.Usiwasomeshe namba watu wako.

Ukiwasomesha namba watu wako wataungana na wakuu wa dunia utaondoka kwa uchaguzi au kuundiwa makundi ya waasi. Mfano Saddam na Gadafi.
Kwann ni ngumu kuiangusha Iran jibu watawala wa Iran wanacheza na kanuni namba 2.
Kosa kubwa Sana la saddam na Gadafi ni kutowaunganisha watu wao wawe kitu kimoja wangewalinda wasingekubali kuundiwa makundi ya magaidi. Wao waliamini zaidi nguvu za kijeshi na ulinzi imara waliokuwa nao kumbe ni takataka tu KWA wababe wa Dunia.
Silaha namba moja ni kuwaunganisha watu wako huwezi sambaratika.
 
Fact 100%
 
Ukiwa kiongozi usifanye uadui na watu Ili kupunguza chance ya kulipizwa kisasi, KWA historia ya duniani Hakuna mtawala yeyeto duniani aliyewahi Pambana na watu akawashinda. Utawashinda kimwili watakuja kiroho.
Yaani uwashinde mabeberu, freemason, wachawi, wapinzani, magaidi, waasi, wanamaombi, albadili, karma, machozi ya wananchi. We nani. Maisha ni leo sio kesho, tenda wema ongoza kwa haki, timiza wajibu wako ukiondoka umeondoka, tunaishi mara moja na sio mara mbili. Dunia ni nyama ya tembo Katu hutoiweza, zama zako zikipita zimepita. Leo Nyerere hata kizazi cha SAsa hakimjui.
 
Kweli kabisa
 
Umesema kweli
 
Uko sahihi bosi
 
Kuna kaukweli
 
Najua hujui lkn unajua
 
Nyerere played his part he ran the good race kijiti chake angepewa Magufuli tungekuwa mbali...but it is what it is..tunasonga mbele...

Sasa hv dawa ni mpasuko wa kweli CCM...can't wait for that day...be strong CCM you can do it...we need change...
Raia wengi wangekuwa wamekufa kutoka na yeye
 
Tunahitaji wanasiasa wa kweli na sio wapiga deal,wasio waoga,waongo,wasiomaanisha wanayoyafanya na kuyasema Tukumbuke kwa wanasiasa tulionao,Sijui kama wana jipya hakika tuna safari ndefu ndefu ndugu zangu
 
Tunahitaji wanasiasa wa kweli na sio wapiga deal,wasio waoga,waongo,wasiomaanisha wanayoyafanya na kuyasema Tukumbuke kwa wanasiasa tulionao,Sijui kama wana jipya hakika tuna safari ndefu ndefu ndugu zangu
Ila ujue na wao wanapenda kuwaa unavyosema ila wanajua watakufa siku si zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…