zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Ni circumstantial evidence yaani umeenda klabu saa 8 usiku unakaa na kibinti kwenye gari alafu ukiambiwa umelawiti unakataa sasa ukiulizwa saa 8 ulikua unafanya nini klabu ya usiku unajibuje? Acheni kutetea ujinga, kiongozi unapaswa kuwa na maadiliSuala la kuwa na familia lina husiana vipi hapo?
Acha kuchanganya habari.habari.
Si kweli, kesi nyingi tu za udhalilishaji wa ngono na rushwa ya ngono zilichunguzwa na TAKUKURU na JPM kupewa ripoti ile 2020 ila hakuna hatua alichukua. Same to Mama samia kesi ya gekul na hii ya Nawanda mbona kamati za maadili CCM hazijawavua uanachama kupisha uchunguzi?CCM ni chama kikubwa ambacho akiwezi kujihusisha na kutetea ufedhuli kama huu
Huyo binti nae saa 8 usiku alienda kufuata nini kwenye magari ya watu?Ni circumstantial evidence yaani umeenda klabu saa 8 usiku unakaa na kibinti kwenye gari alafu ukiambiwa umelawiti unakataa sasa ukiulizwa saa 8 ulikua unafanya nini klabu ya usiku unajibuje? Acheni kutetea ujinga, kiongozi unapaswa kuwa na maadili
Unataka nikujibu ili ionekane nakosea au? Kwenye ukweli huwa nasimama hapo haijalishi kipi ni kipii.Kwamba kumuingilia mwanamke let alone anally bila consent ni sawa kwako? Imagine hujajiandaa hata kiusafi, diet, kisaikolojia, wala vilainishi jitu limuingilie tu kinyume hivi ungekubali wewe binafsi? Lazima hapo maumivu yalikua sio ya kawaida then watu mnasema kitoto kisichojielewa?
Yap atapata haki yake mahakamaniYes ni jambo la muhimu afikishwe mahakamani,Tusitete mambo ambayo hata Mungu hapendi kisa chama no,
RC alikuwa ni mpenzi wakeHuyo binti nae saa 8 usiku alienda kufuata nini kwenye magari ya watu?
Sasa si ndio matumizi ya hela?MTU unapata zaidi ya mil 8 kwa mwezi unapata marupurupu then bado unakuwa mzinzi
Hawa maRC wanalipwa hela nyingi mpaka wanachanganyikiwa matumiziMkuu kwan alipofika tu ndio wakafanya hilo tendo kwamba hawakuwa na mazungumzo yoyote.
Maana inasemekana walikua ni wapenzi kitambo kidogo baadae wakatofautiana baada ya mheshimiwa kuomba apewe mapenzi kinyume na maumbile. Hivyo siku wanakutana mheshimiwa alitaka kuomba radhi pamoja na kuendeleza roho yake ya usodoma ili apate alichokua akikihitaji.
Kuna sehemu kuwa club usiku kwa waziri au kiongozi ni utovu wa maadili? Wakuulizwa ni kabinti ambako kanapaswa kuwa shule mkuu wa mkoa ambaye anaweza pia kuwa anatekeleza majukumu yake. We pimbi kweliNi circumstantial evidence yaani umeenda klabu saa 8 usiku unakaa na kibinti kwenye gari alafu ukiambiwa umelawiti unakataa sasa ukiulizwa saa 8 ulikua unafanya nini klabu ya usiku unajibuje? Acheni kutetea ujinga, kiongozi unapaswa kuwa na maadili
Sasa si ndio matumizi ya hela?
Mtu upate hela zote hizo halafu unakula kwa macho maana yake nini?
Kweli mkuuItakuwa ndiyo mchezo wenu
mke akiomba taraka kukufurahisha wewe ataishi vpAcha Ujinga,
Yaani kiongozi wa umma kutafuta wanawake mabarabarani ni Maadili gani hayo?
Mke pia anatakiwa aombe talaka haraka Kwa fedheha.
Malezi, makuzi na tabia pia huchangia mkuu...Huyo RC hiyo michezo hajaanza saivi ni wazi kabisa ameanza kitambo sana na usikute hata mke wake alikua akimla kinyume sema ndo hivyo. Wanawake wanapitia mengi san.Hawa maRC wanalipwa hela nyingi mpaka wanachanganyikiwa matumizi
Sasa kumbe ni wapenzi, mambo ya kupelekana mahakamani yanakujaje kama siyo kuharibiana CV?RC alikuwa ni mpenzi wake
MTU Una miaka 50+ unaanza kufatilia uchi wa mwananfunzi ambaye ni sawa na mwanao wa mwishoKuna sehemu kuwa club usiku kwa waziri au kiongozi ni utovu wa maadili? Wakuulizwa ni kabinti ambako kanapaswa kuwa shule mkuu wa mkoa ambaye anaweza pia kuwa anatekeleza majukumu yake. We pimbi kweli
Hapo ndio uelewe CCM ni chama fair, na inachojua mipaka yake na kuheshimu taratibu za sheria.Si kweli, kesi nyingi tu za udhalilishaji wa ngono na rushwa ya ngono zilichunguzwa na TAKUKURU na JPM kupewa ripoti ile 2020 ila hakuna hatua alichukua. Same to Mama samia kesi ya gekul na hii ya Nawanda mbona kamati za maadili CCM hazijawavua uanachama kupisha uchunguzi?
Hivyo CCM haijawahi kupinga hadharani ufedhuli.
Kwani ulishawahi kufanya hivyo mkuu maana unaongea kama mtu mwenye uzoefu nayo.Sasa kumbe ni wapenzi, mambo ya kupelekana mahakamani yanakujaje kama siyo kuharibiana CV?
Mimi nikuambie ukweli, mwanamke kama hataki huwezi kuingiza uume, labda muwe wengi mumfunge kamba.
Kesi za ubakaji sijui ulawiti za watu wazima one on one nyingi ni feki.
Wanakuwaga wamekubali, baadae anakubadilikia.
Ndio maana mimi siwezi kuunga mkono hizi kesi za mchongo.
Ndo tatizo hili, ukionekana kusema ukweli, eti unatetea au muhusika.Itakuwa ndiyo mchezo wenu