Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Sawa hakufanya hayo sasa tuambieni alikuwa akifanya nini kwenye gari kwa muda wa zaidi ya nusu saa na huyo binti hapo parking.
Pia yeye kama mkuu wa mkoa saa nane za usiku club unafanya nini hana familia?
Kuna issue kutetea ni ngumu isee!
Huyo jamaa amezingua na ameidhalilisha familia yake pia.
Nadharia tu mtambuka/hisia za kizushi. Inawezekana kwa sababu teuzi nyingi sasa ni za wahusika kutoa rushwa/mlungula kwa wafanya vetting na wapeleka majina kwa Mama, basi usikute jamaa labda alikuwa hajatoa/kumalizia hivyo wenzake wakaamua kumalizana naye kimtindo. Maana nadharia iliyopo sasa teuzi za awamu 6 siyo za enzi zile awamu 5, mpunga wako tu basi nomino linafika pahala, na usipotoa mpunga wa kumalizia hahaha sijui sasa Dr Nawanda atamwaga mboga au atakufa na tai shingoni. Maana ukimwangalia Dr Nawanda ana mpaka ila alama ya kuonesha ni muislamu safi kabisa. Nadharia inaonesha alitoa hela na jina likaenda akateuliwa ila sasa ndiyo hivyo hakumalizia deni la watu wa mfumo hahahahaTeam,
Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;
Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.
Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.
Tujiulize;
(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?
(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?
(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.
PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
Jibu ni B.Sorry, nje ya mada ya ulawiti.
RC hatakiwi kuwepo club usiku?
Kati ya RC na binti nani hakutakiwa kuwepo maeneo hayo usiku?
Unajua maana ya kubakwa, kisheria?Haki ipatikane ukikaangalia kale kabinti na maelezo yake kamebakwa hakuna tafsiri nyingine.’
Mengine ni upuuzi tu
Hayo yote mtajibu mahakamani, tumewatuma kufanya kazi za umma mnaishia kulawiti watoto wetuTeam,
Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;
Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.
Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.
Tujiulize;
(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?
(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?
(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.
PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
Ningeomba tafsiri yako inayopingana na maelezo ya huyo binti.Unajua maana ya kubakwa, kisheria?
Kwa kifupi ni kwamba kama wewe ni mwanamke unatia aibu kutetea hiyo kesi. Na inaonyesha jinsi ulivyoharibiwa psychologically hadi kutetea upuuzi kama huo.Halafu,,,,hivi kwa nini hakupiga simu kuomba msaada alipotaka kufanyiwa vile?
Kumbuka kitendo kile kwa mujibu wa maelezo yake kilianza na yeye kuambiwa kuwa kwa nini anakataa kulawitiwa?
Mathematically, kuna dakika zaidi ya 10 kufanya jambo hili.
Cha kushangaza sana huyu msichana hakupiga hata simu kuomba msaada.
Ndege wafananao huruka pamojaWafiraji mna umoja sana
Kumbuka Nawanda Ni MTU mzima halafu kaingiza kwenye sumaku fresh.Yule binti hakubakwa, nilisoma report inasema aliingia kwenye gari saa 2:57 akatoka saa 3.16, Kuna muda gani hapo wa mtu kubakwa tena kwenye gari?
Wenye magari mnaelewa nafasi ilivyo finyu na gari ilikuwa ndogo siyo kubwa.
Labda kama huyo binti hakuwa amevaa chupi na nguo zingine, na alikuwa kesha jipaka vilainishi, na aliishajua anaenda kubakwa tena kinyume na ilivyokawaida na akaondoka.
Ikienda mahakamani yataibuka madudu mengi Sana na kuwafsnya watu wengine watumbuliwe.Yes kwanini hawataki kesi iende mahakamani?
Bora angekua mzinzi wa kawaida Kama wengine.MTU unapata mshahara mzuri na unalipwa marupu rupu Ila unakuwa Mzinzi
Huyo sijui ni tamaa ya aina gani inayopufusha macho na AKILI.
1-Wewe unaujua uelekeo wa kutoka alipotoka hapo kwenye gari hadi kufika kwao?Je,kama alipita kwao na polisi ni mbele zaidi?Team,
Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;
Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.
Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.
Tujiulize;
(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?
(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?
(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.
PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
Kwa huu utawala wa hovyo hakuna loloteIkienda mahakamani yataibuka madudu mengi Sana na kuwafsnya watu wengine watumbuliwe.
Ila ingekua enzi za Nyerere!! Asikie umemla tigo mtoto wa maskini halafu upo tu mtaani unakunywa beer???
hawa ni pedophine, yaani watu wazima wanaopenda kulala na wenye umri mdogo. ndio maana anavizia vitoto vya chuo, vidogovidogo. wengi tunajiuliza, nchi hii nani mwenye ujasiri kumsingizia RC, hata kama DC au mbunge, au hata mwenyekiti tu wa mtaa akisingiziwa kama kitu cha uongo, angelalamika hadi mngesema kweli. sasa yeye badala ya kulalamika na kuita press, amekazana kuhonga na kwenda kwa mama wa mtoto kuomba msamaha na kuomba yaishe, na kutengeneza barua za kufuta kesi. hivi kwa akili ya kawaida utasema hapo hakufanya kosa? utasema anaonewa hapo? akili ya kawaida tu. RC kimemramba, tena ustaadh alhaji kabisa analawiti.Kama ametengenezewa zengwe mi najiuliza aliyeandaa mkutano wao ni nani, yaani ni nani aliempigia simu mwenzie kwamba njoo unikute sehemu fulani
Halafu Mkuu wa mkoa unahudhuriaje birthday za watu?? Eti ndio walionana huko kwa mara ya kwanza