Ukifuatilia kesi ya Nawanda kwa ukaribu utaona kabisa alitengenezewa zengwe. Viongozi chukuweni tahadhari, mahasimu wako kazini!

Team,

Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;

Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.

Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.

Tujiulize;

(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?

(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?

(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.

PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
Alivua nguo kwa kitegemea tendo litakuwa la kawaida.
Nani alikuambia kelele ni kielelezo cha kisheria?
Tatizo lipo ndiyo sababu rafiki yake Mtanda alijaribu kusuluhisha kwa kutoa hongo kwa mama wa mtendewa.
 
Zengwe kajitengenezea mwenyewe,kuna nafasj zingine
Ukiwa nazo lazima uishi kimachale
Kuwindana lazima,ukitereza tu watu wanapita na wewe
Na hii iwe fundisho kwa wengine wote wenye nyadhifa
Sasa we kuongozi the cask unaenda kufanya nini,huko si kwenda kujichora tu

Ova
 
Yupo waziri mmoja mhaya Sasa marehemu. Alikua na sharubu. Tulikua tunakunywa naye Kinondoni bar moja maarufu ilikua na Malaya wengi nyuma ya soko la tx (shentembaa )Tena alikua anakaa stuli ndefu.
Just imagine a cabinet minister.
 
Team,

Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;

Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.

Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.

Tujiulize;

(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?

(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?

(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.

PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
Hiyo kesi imefunguliwa mahakama ya wapi huko ambako wewe umeona ikiendelea na ukaifuatilia?
 
hawa ni pedophine, yaani watu wazima wanaopenda kulala na wenye umri mdogo. ndio maana anavizia vitoto vya chuo, vidogovidogo. wengi tunajiuliza, nchi hii nani mwenye ujasiri kumsingizia RC, hata kama DC au mbunge, au hata mwenyekiti tu wa mtaa akisingiziwa kama kitu cha uongo, angelalamika hadi mngesema kweli. sasa yeye badala ya kulalamika na kuita press, amekazana kuhonga na kwenda kwa mama wa mtoto kuomba msamaha na kuomba yaishe, na kutengeneza barua za kufuta kesi. hivi kwa akili ya kawaida utasema hapo hakufanya kosa? utasema anaonewa hapo? akili ya kawaida tu. RC kimemramba, tena ustaadh alhaji kabisa analawiti.
wengi tu wanafanya zaidi ya aya. apa tatizo mshiriki mmoja kalalamika ndo shida inapoanza.
 
Team,

Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;

Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.

Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.

Tujiulize;

(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?

(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?

(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.

PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
Mbinu za Siasa chafu za namna hii huwa zinatumika Sana nchini Urusi kuwalenga wale Watu ambao wako against na sera za kijamaa za Serikali ya Urusi.

Yule binti hakubakwa, nilisoma report inasema aliingia kwenye gari saa 2:57 akatoka saa 3.16, Kuna muda gani hapo wa mtu kubakwa tena kwenye gari?

Wenye magari mnaelewa nafasi ilivyo finyu na gari ilikuwa ndogo siyo kubwa.

Labda kama huyo binti hakuwa amevaa chupi na nguo zingine, na alikuwa kesha jipaka vilainishi, na aliishajua anaenda kubakwa tena kinyume na ilivyokawaida na akaondoka.
mkuu mbona unakuwa mgumu kuelewa. uo muda mfupi ndo unakazia point kuwa bibie hakupata muda kuandaliwa vizuri! yani alivyoingia tu garini akakuta tayari mnara wa Dokta Alhaji unasoma bar zote (inawezekana Dokta Alhaji alishameza kiongeza nguvu) kabla bibie ajakaa sawa akakuta ameshadumbukiziwa mzigo kunako ndomaana bibie alilalama kaumizwa sana uko chini.
 
Kiongozi ni kiooo cha jamii.
Zama hizi imekuwa kinyume chake.
Viongozi wamekuwa wahuni, wazinzi, wasaliti.ni shida tupu.
Viongozi hawaaminiki.
 
Team,

Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;

Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.

Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.

Tujiulize;

(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?

(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?

(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.

PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Swali la msingi linapaswa kuwa, alifanya kweli kitendo hicho ama la....?

Kama alifanya kweli, then hoja zingine zote zinazokuja nyuma ya kitendo ni upuuzi na ni ujinga...

Alipaswa kujua hili mapema kuwa, katika maisha haya, kila mtu amezungukwa na maadui wa kutosha wenye lengo si tu kuabisha kusabisha fedheha bali kukuua kabisa, upotee duniani na usifike mbinguni...

Alipaswa kujua nini na yapi yampasayo kumfanya na wapi na wakati gani wa kuyafanya...

Aidha alipaswa kujua pia ni yapi hapaswi kuyafanya kabisa na pengine hata kufikiria tu kuyafanya...!!
 
Team,

Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;

Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.

Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.

Tujiulize;

(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?

(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?

(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.

PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
Kwa mtazamo wangu, ungeongezea nguvu hoja yako na maswali unayouliza kama ungetuambia umewahi kulawitiwa na ukafanyaje walipomaliza.
 
Team,

Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;

Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.

Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.

Tujiulize;

(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?

(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?

(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.

PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
Au TAKO halikulipiwa....
 
Nilitaka kusoma hoja zako kwa fikra zilizo huru kabisa ili nijiridhishe kuhusu hali ya mambo kuhusu mkasa huu.

Sasa haya uliyoweka hapa juu, yanaonyesha hakuna hoja za kufikirisha toka kwako.

Unahoji hata "kuvua nguo"? Binti apige kelele za kuita watu?

Katika yote niliyo kwisha yasikia na kuyasoma; sina shaka na mchango wa huyo binti katika mkasa huu. Lakini mchango huo haumwondolei Mkuu wa Mkoa makosa.
 
Hiki ulichosema hapa alitakiwa aseme Nawanda mwenyewe, na atueleze kilr alichokuwa akifanya kwenye gari na binti hadi akaonekana kwenye CCTV camera.

Vinginevyo ni ngumu kuteteana kwa hoja nyepesi. Ukiwa kiongozi wa umma hupaswi hata kujiweka katika mazingira ya kutuhumiwa kwa kesi za aibu namna ile.

Uwe umefanya au hukufanya, ila kutuhumiwa tu ni kuchafua hadhi ya serikali.

Ova
La msingi "MTAJI" si kaondoka nao Sasa shida iko wapi hapa?!!!!!!
 
Yule binti hakubakwa, nilisoma report inasema aliingia kwenye gari saa 2:57 akatoka saa 3.16, Kuna muda gani hapo wa mtu kubakwa tena kwenye gari?

Wenye magari mnaelewa nafasi ilivyo finyu na gari ilikuwa ndogo siyo kubwa.

Labda kama huyo binti hakuwa amevaa chupi na nguo zingine, na alikuwa kesha jipaka vilainishi, na aliishajua anaenda kubakwa tena kinyume na ilivyokawaida na akaondoka.
LOoooh!

Dakika 18 hazikutoshi mkuu kufanya yako! Kwani binti anadai "kabakwa"? Watu mna maelezo ya ajabu sana kujaribu kupindisha swala liwe tofauti na jinsi lilivyo kuwa.
 
Team,

Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;

Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.

Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.

Tujiulize;

(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?

(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?

(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.

PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
Maswali ya kijinga hayana nguvu wala hayaleti unafuu kwa anayetuhumiwa.

Huyu ni mkuu wa mkoa wa Simiyu ambapo ofisi na makazi yake yako kilomita zaidi ya 200 kutoka Mwanza, yeye alienda kufanya nini huko tena kwenye sehemu ya starehe?

Huko Bariadi hakuna sehemu ya kufanyia starehe mpaka awe anasafiri kila mara kwenda Mwanza?

Binti atapigaje kelele wakati kabla ya kitendo alitahadhalishwa kwamba endapo angepiga kelele hapo nje ya gari kuna walinzi wa mtukufu mkuu wa mkoa kwamba wangemshughulikia?

Angeendaje polisi wakati tayari alitishiwa kwamba vyombo vya ulinzi vilikuwa chini yake katika eneo alilokuwepo?

Kwa hoja yako unayotaka kuiwasilisha ukiwa na mpenzio ukamshurutisha kufanya tendo la kujamiiana kwa njia ya kawaida bila ridhaa ya mshirika sio kosa kisheria?

Je, kujamiiana kinyume na maumbile hata kama mmekubaliana, ni halali kwa mjibu wa sheria za Tanzania?
 
LOoooh!

Dakika 18 hazikutoshi mkuu kufanya yako! Kwani binti anadai "kabakwa"? Watu mna maelezo ya ajabu sana kujaribu kupindisha swala liwe tofauti na jinsi lilivyo kuwa.
Binti kasema kaingiliwa kinyume na maumbile, time line haileti maana kabisa dakika 18, kwanza kungekuwa na ugomvi, na labda hata vioo vya gari hili vingevunjika, kuingiliwa kinyumbe na maumbile ni kubakwa, hakuridhia. Hata uchukie vipi bado haileti maana, huyo alipangwa aseme alichosema, kama aliingiliwa kinyume na maumbile kabla ya hiyo siku nakubali, lakini siyo ndani ya dakika 18.
 
Back
Top Bottom