Ukifuga hata ng'ombe mmoja tu wa maziwa, mwajiriwa hakufikii

Mwambie huyo mzee wako aache dharau zake za kijinga. Kujenga hako kajumba kake ndiyo afikie hatua ya kuwaponda waajiriwa!

labda alimaanisha waajiriwa wake, wanaomsaidia kuchunga Ng'ombe.

Yaani mtu hata bima ya Afya hana, Anataka kujifananisha na Waajiriwa wenye uhakika wa kutibiwa na kikokotoo juu.
 
Matumizi kwa siku familia ya kawaida yenye Shamba boy ,Mercury(Hg),Mke ,Mme na watoto watatu ni Around "Yuda Iskarioti" vipande Thalatha vya wekundu.

Kama na Baba ameajiriwa kwa siku atatumia "Shuka La Mmasai" kwenda/kurudi kazini+ Msosi wa asubuhi na Mchana........Means Per Day Misimbazi Minne inakatika.

Total Mwezi ni Mlio na Box Mbili.

Hapo haujajiunga na NetFlix , Showmax ,Primevideo ,AzamTV,StarTimes,DSTV,Zuku,5G Router.

Hapo haujazungumzia Bills za Tanesco ,Dawasa.

Kwa Kifupi ili angalau uishi kistandard inatakiwa hamna hamna ukunje Mlio na nusu Per mwezi.

N'gombe wa maziwa mmoja anaweza kukupatia hiyo fedha? Kuna ng'ombe ambaye atatoa lita 25(Lita moja ni Tsh 2000) kwa siku ili kukupatia 1.5m per month?
 
Ukipata ng'ombe wa maziwa anayetoa Lita 20 kwa siku unakuwa unapata 20×1500= 30000 kwa siku, kwa mwezi ni 900,000/- ukitoa matumizi ya ng'ombe laki 3 unabakiza laki 6.
Mwajiriwa mwenye degree analipwa laki 6,
Maisha ni kuchagua.
 
Hahaha mafanikio ya kwenye makaratasi huwa ni matamu sana
 
Ufugaji unalipa sana na wenzetu wakenya wameuchukulia serious sana, mtu mwenye ng'ombe 2 bora wa maziwa anaishi vizuri sana kuliko hata mwajiriwa.
Sasa hivi bei ya maziwa imepanda sana na mahitaji ni makubwa na ukiwa na ng'ombe husumbuki hata kutafuta wateja wa maziwa.
 
Nafuga najua bwashee
 
KUMBUKIZI 📌

Hapa tulipata fursa ya kumtembelea Mzee Hassan Migeto, mfugaji wa ng’ombe wa maziwa kutoka Mkuyuni – Mwanza.
Alitueleza kwa uwazi safari yake ya ufugaji, changamoto alizokumbana nazo mwanzoni—ikiwemo kukosa ng’ombe bora na uhaba wa malisho ya uhakika.

Kupitia kujifunza, kufanya marekebisho sahihi, na kusimamia ufugaji wake kitaalamu, leo Mzee Hassan anafanya vizuri. Mapato ya ufugaji wake yameweza kumuwezesha kujenga nyumba yake na kuboresha maisha kwa ujumla.

Kwa kauli yake mwenyewe anasema: “Ukipanga na kufuga kitaalamu, hata mfugaji mwenye ng’ombe mmoja anaweza kupata kipato ambacho mwajiriwa wengi hawakifikii.”
View attachment 3527868
We jamaa huna akili hata kidogo me nipo TANAPA nalipwa take home 1.8 MILION Nina miaka 28 inaniambia nikifuga ng'ombe mtumishi hatonifikia wakati Mimi biharamulo nimenunua ng'ombe wa laki 4 nne watano kwa MILION 2 miaka mitatu imepita lakini maisha hayako hivyo kama unavyolopoka hapo Bora jamii forum ingefungiwa
 
Ng'ombe wa maziwa hauzwi laki 4 ni kuanzia mil 4 kwa ng'ombe mmoja.
 
Ukipata ng'ombe wa maziwa anayetoa Lita 20 kwa siku unakuwa unapata 20×1500= 30000 kwa siku, kwa mwezi ni 900,000/- ukitoa matumizi ya ng'ombe laki 3 unabakiza laki 6.
Mwajiriwa mwenye degree analipwa laki 6,
Maisha ni kuchagua.
Mkuu wapi au sehemu Gani huko ambako mwajiriwa wa serikali mwenye Degree analipwa laki 6?,au Suma JKT?

Ujue ujuaji wa kujifanya unajua Kila kitu huelekea kwenye kujidharirisha na matokeo yake ni kuonekana hamnazo

Mimi Nina diploma ya ualimu,mshahara wangu kwa sasa ni 1.6 as basic,take home 1.3+ ,sasa huyo wa digrii wa kulipwa 600K wewe umemtoa wapi?
 
Ngombe mmoja anatoa lita 10 kwa siku
10*2000*30 = 600,000
Mshahara wa mkamuaji = 150,000
Majani na pumba = 250,000
Tengo la dawa na sindano = 50,000

Faida kwa mwezi = 150,000

Acha uwongo wako hapa.. sasa laki na hamsini ndo yakutambia mjini?
 
We jamaa huna akili hata kidogo me nipo TANAPA nalipwa take home 1.8 MILION Nina miaka 28 inaniambia nikifuga ng'ombe mtumishi hatonifikia wakati Mimi biharamulo nimenunua ng'ombe wa laki 4 nne watano kwa MILION 2 miaka mitatu imepita lakini maisha hayako hivyo kama unavyolopoka hapo Bora jamii forum ingefungiwa
Ng'ombe wa maziwa hauzwi laki 4 ni kuanzia mil 4 kwa ng'ombe mmoja
Ngombe mmoja anatoa lita 10 kwa siku
10*2000*30 = 600,000
Mshahara wa mkamuaji = 150,000
Majani na pumba = 250,000
Tengo la dawa na sindano = 50,000

Faida kwa mwezi = 150,000

Acha uwongo wako hapa.. sasa laki na hamsini ndo yakutambia mjini?
Ng'ombe wa kutoa lt 10 huyo sio ng'ombe, ng'ombe wa maziwa anatakiwa kutoa angalau lt 15 .
Mimi ninao watatu 3 aina ya Ayrshire, wanatoa lt 48 kwa siku, nauza Lt 45.
45×1600=72,000 kwa siku
30×72,000= 2,160,000/-
 
Mkuu wapi au sehemu Gani huko ambako mwajiriwa wa serikali mwenye Degree analipwa laki 6?,au Suma JKT?

Ujue ujuaji wa kujifanya unajua Kila kitu huelekea kwenye kujidharirisha na matokeo yake ni kuonekana hamnazo

Mimi Nina diploma ya ualimu,mshahara wangu kwa sasa ni 1.6 as basic,take home 1.3+ ,sasa huyo wa digrii wa kulipwa 600K wewe umemtoa wapi?
Uliza hapo shuleni kwenu graduate, diploma au certificate anayeanza kazi ambae hajapanda daraja analipwa shilingi ngapi?
 
KUMBUKIZI 📌

Hapa tulipata fursa ya kumtembelea Mzee Hassan Migeto, mfugaji wa ng’ombe wa maziwa kutoka Mkuyuni – Mwanza.
Alitueleza kwa uwazi safari yake ya ufugaji, changamoto alizokumbana nazo mwanzoni—ikiwemo kukosa ng’ombe bora na uhaba wa malisho ya uhakika.

Kupitia kujifunza, kufanya marekebisho sahihi, na kusimamia ufugaji wake kitaalamu, leo Mzee Hassan anafanya vizuri. Mapato ya ufugaji wake yameweza kumuwezesha kujenga nyumba yake na kuboresha maisha kwa ujumla.

Kwa kauli yake mwenyewe anasema: “Ukipanga na kufuga kitaalamu, hata mfugaji mwenye ng’ombe mmoja anaweza kupata kipato ambacho mwajiriwa wengi hawakifikii.”
View attachment 3527868
Humu uta rashiwa, sana, huku ukileta mawazo tofauti jiandae kuitwa kila aina ya majina, Forum ishaha haribika hii, binafisi nisha stafu kupost chochote humu. Watu wanataka Udaku tu, mpira , siasa na mapenzi, ukileta mada kama hizi hawapendi. Wewe waletee mada za mapenzi.
 
Ng'ombe wa maziwa hauzwi laki 4 ni kuanzia mil 4 kwa ng'ombe mmoja

Ng'ombe wa kutoa lt 10 huyo sio ng'ombe, ng'ombe wa maziwa anatakiwa kutoa angalau lt 15 .
Mimi ninao watatu 3 aina ya Ayrshire, wanatoa lt 48 kwa siku, nauza Lt 45.
45×1600=72,000 kwa siku
30×72,000= 2,160,000/-
Minus expenses inabaki net ya ngapi?

Chakula kwa mwezi
Mshahara wa mkamuaji
Dawa
 
Ukipata ng'ombe wa maziwa anayetoa Lita 20 kwa siku unakuwa unapata 20×1500= 30000 kwa siku, kwa mwezi ni 900,000/- ukitoa matumizi ya ng'ombe laki 3 unabakiza laki 6.
Mwajiriwa mwenye degree analipwa laki 6,
Maisha ni kuchagua.
Hapo pia unakuwa na bustani za mboga!
 
KUMBUKIZI 📌

Hapa tulipata fursa ya kumtembelea Mzee Hassan Migeto, mfugaji wa ng’ombe wa maziwa kutoka Mkuyuni – Mwanza.
Alitueleza kwa uwazi safari yake ya ufugaji, changamoto alizokumbana nazo mwanzoni—ikiwemo kukosa ng’ombe bora na uhaba wa malisho ya uhakika.

Kupitia kujifunza, kufanya marekebisho sahihi, na kusimamia ufugaji wake kitaalamu, leo Mzee Hassan anafanya vizuri. Mapato ya ufugaji wake yameweza kumuwezesha kujenga nyumba yake na kuboresha maisha kwa ujumla.

Kwa kauli yake mwenyewe anasema: “Ukipanga na kufuga kitaalamu, hata mfugaji mwenye ng’ombe mmoja anaweza kupata kipato ambacho mwajiriwa wengi hawakifikii.”
View attachment 3527868
Chai
 
Back
Top Bottom