The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Mwambie huyo mzee wako aache dharau zake za kijinga. Kujenga hako kajumba kake ndiyo afikie hatua ya kuwaponda waajiriwa!
Hahaha mafanikio ya kwenye makaratasi huwa ni matamu sanaUkipata ng'ombe wa maziwa anayetoa Lita 20 kwa siku unakuwa unapata 20×1500= 30000 kwa siku, kwa mwezi ni 900,000/- ukitoa matumizi ya ng'ombe laki 3 unabakiza laki 6.
Mwajiriwa mwenye degree analipwa laki 6,
Maisha ni kuchagua.
Ufugaji unalipa sana na wenzetu wakenya wameuchukulia serious sana, mtu mwenye ng'ombe 2 bora wa maziwa anaishi vizuri sana kuliko hata mwajiriwa.Hahaha mafanikio ya kwenye makaratasi huwa ni matamu sana
Nafuga najua bwasheeUfugaji unalipa sana na wenzetu wakenya wameuchukulia serious sana, mtu mwenye ng'ombe 2 bora wa maziwa anaishi vizuri sana kuliko hata mwajiriwa.
Sasa hivi bei ya maziwa imepanda sana na mahitaji ni makubwa na ukiwa na ng'ombe husumbuki hata kutafuta wateja wa maziwa.
Nyie mnaofugia huko mjini mnapata hasara maana kila kitu mnanunua, sisi huku vijijini nyasi ni za bure ni madawa tu.Nafuga najua bwashee
We jamaa huna akili hata kidogo me nipo TANAPA nalipwa take home 1.8 MILION Nina miaka 28 inaniambia nikifuga ng'ombe mtumishi hatonifikia wakati Mimi biharamulo nimenunua ng'ombe wa laki 4 nne watano kwa MILION 2 miaka mitatu imepita lakini maisha hayako hivyo kama unavyolopoka hapo Bora jamii forum ingefungiwaKUMBUKIZI 📌
Hapa tulipata fursa ya kumtembelea Mzee Hassan Migeto, mfugaji wa ng’ombe wa maziwa kutoka Mkuyuni – Mwanza.
Alitueleza kwa uwazi safari yake ya ufugaji, changamoto alizokumbana nazo mwanzoni—ikiwemo kukosa ng’ombe bora na uhaba wa malisho ya uhakika.
Kupitia kujifunza, kufanya marekebisho sahihi, na kusimamia ufugaji wake kitaalamu, leo Mzee Hassan anafanya vizuri. Mapato ya ufugaji wake yameweza kumuwezesha kujenga nyumba yake na kuboresha maisha kwa ujumla.
Kwa kauli yake mwenyewe anasema: “Ukipanga na kufuga kitaalamu, hata mfugaji mwenye ng’ombe mmoja anaweza kupata kipato ambacho mwajiriwa wengi hawakifikii.”
View attachment 3527868
Sifugi mjiniNyie mnaofugia huko mjini mnapata hasara maana kila kitu mnanunua, sisi huku vijijini nyasi ni za bure ni madawa tu.
Ng'ombe wa maziwa hauzwi laki 4 ni kuanzia mil 4 kwa ng'ombe mmoja.We jamaa huna akili hata kidogo me nipo TANAPA nalipwa take home 1.8 MILION Nina miaka 28 inaniambia nikifuga ng'ombe mtumishi hatonifikia wakati Mimi biharamulo nimenunua ng'ombe wa laki 4 nne watano kwa MILION 2 miaka mitatu imepita lakini maisha hayako hivyo kama unavyolopoka hapo Bora jamii forum ingefungiwa
Mkuu wapi au sehemu Gani huko ambako mwajiriwa wa serikali mwenye Degree analipwa laki 6?,au Suma JKT?Ukipata ng'ombe wa maziwa anayetoa Lita 20 kwa siku unakuwa unapata 20×1500= 30000 kwa siku, kwa mwezi ni 900,000/- ukitoa matumizi ya ng'ombe laki 3 unabakiza laki 6.
Mwajiriwa mwenye degree analipwa laki 6,
Maisha ni kuchagua.
Ng'ombe wa maziwa hauzwi laki 4 ni kuanzia mil 4 kwa ng'ombe mmojaWe jamaa huna akili hata kidogo me nipo TANAPA nalipwa take home 1.8 MILION Nina miaka 28 inaniambia nikifuga ng'ombe mtumishi hatonifikia wakati Mimi biharamulo nimenunua ng'ombe wa laki 4 nne watano kwa MILION 2 miaka mitatu imepita lakini maisha hayako hivyo kama unavyolopoka hapo Bora jamii forum ingefungiwa
Ng'ombe wa kutoa lt 10 huyo sio ng'ombe, ng'ombe wa maziwa anatakiwa kutoa angalau lt 15 .Ngombe mmoja anatoa lita 10 kwa siku
10*2000*30 = 600,000
Mshahara wa mkamuaji = 150,000
Majani na pumba = 250,000
Tengo la dawa na sindano = 50,000
Faida kwa mwezi = 150,000
Acha uwongo wako hapa.. sasa laki na hamsini ndo yakutambia mjini?
Uliza hapo shuleni kwenu graduate, diploma au certificate anayeanza kazi ambae hajapanda daraja analipwa shilingi ngapi?Mkuu wapi au sehemu Gani huko ambako mwajiriwa wa serikali mwenye Degree analipwa laki 6?,au Suma JKT?
Ujue ujuaji wa kujifanya unajua Kila kitu huelekea kwenye kujidharirisha na matokeo yake ni kuonekana hamnazo
Mimi Nina diploma ya ualimu,mshahara wangu kwa sasa ni 1.6 as basic,take home 1.3+ ,sasa huyo wa digrii wa kulipwa 600K wewe umemtoa wapi?
Humu uta rashiwa, sana, huku ukileta mawazo tofauti jiandae kuitwa kila aina ya majina, Forum ishaha haribika hii, binafisi nisha stafu kupost chochote humu. Watu wanataka Udaku tu, mpira , siasa na mapenzi, ukileta mada kama hizi hawapendi. Wewe waletee mada za mapenzi.KUMBUKIZI 📌
Hapa tulipata fursa ya kumtembelea Mzee Hassan Migeto, mfugaji wa ng’ombe wa maziwa kutoka Mkuyuni – Mwanza.
Alitueleza kwa uwazi safari yake ya ufugaji, changamoto alizokumbana nazo mwanzoni—ikiwemo kukosa ng’ombe bora na uhaba wa malisho ya uhakika.
Kupitia kujifunza, kufanya marekebisho sahihi, na kusimamia ufugaji wake kitaalamu, leo Mzee Hassan anafanya vizuri. Mapato ya ufugaji wake yameweza kumuwezesha kujenga nyumba yake na kuboresha maisha kwa ujumla.
Kwa kauli yake mwenyewe anasema: “Ukipanga na kufuga kitaalamu, hata mfugaji mwenye ng’ombe mmoja anaweza kupata kipato ambacho mwajiriwa wengi hawakifikii.”
View attachment 3527868
Minus expenses inabaki net ya ngapi?Ng'ombe wa maziwa hauzwi laki 4 ni kuanzia mil 4 kwa ng'ombe mmoja
Ng'ombe wa kutoa lt 10 huyo sio ng'ombe, ng'ombe wa maziwa anatakiwa kutoa angalau lt 15 .
Mimi ninao watatu 3 aina ya Ayrshire, wanatoa lt 48 kwa siku, nauza Lt 45.
45×1600=72,000 kwa siku
30×72,000= 2,160,000/-
Hapo pia unakuwa na bustani za mboga!Ukipata ng'ombe wa maziwa anayetoa Lita 20 kwa siku unakuwa unapata 20×1500= 30000 kwa siku, kwa mwezi ni 900,000/- ukitoa matumizi ya ng'ombe laki 3 unabakiza laki 6.
Mwajiriwa mwenye degree analipwa laki 6,
Maisha ni kuchagua.
ChaiKUMBUKIZI 📌