Teleskopu
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 702
- 767
- Thread starter
- #21
Na hujakosea unaposema "kwa 5G" - umeongea kinabii kwelikweli - maana huu wote ni uongo wa globalists. Chanjo nyingi zimegundulika kuw ana graphine oxide. Hii inakuwa excited na mawimbi ya 5G. Wakibadilisha setting kwenye frequency fulani, graphine oxide inaamka ndani ya waliochanjwa na ina dalili zote za covid. Hiyo ndiyo hila ambayo mataifa yanaingizwa na hawajielewi.Kule China delta karudi kwa kasi ya 5G..yaani ni show show.
Sikiliza hapa -