Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Israel wamejitahidi sana kuchanja, lakni maambukizi yako juu, wanaanza awamu ya nne ya kuchanja. Haya mambo yanafikirisha sana 😎Kule China delta karudi kwa kasi ya 5G..yaani ni show show.
Kweli kabisa. Good advice.Hili ni lazima litimie ili yaliyo tabiriwa kwenye maandiko yatimie pia. Everything's God plan. Tujanjaruke usikubali hii order kwa binafsi yako
Hilo ni kweli kabisa. Na mtu atafikiri haraharaka kuwa ugonjwa wa korona umeongezeka Israeli.Israel wamejitahidi sana kuchanja, lakni maambukizi yako juu, wanaanza awamu ya nne ya kuchanja. Haya mambo yanafikirisha sana 😎
Shukrani sana.Mkuu inawezekana, japo kuishi katika roho duniani ni kwa namna tofauti na kuishi katika roho baada ya kifa. Kwa hapa hicho ni kitendo cha kuchagua upande kwa kila jambo ufanyalo. Mfano, unapokasirishwa, moyoni yanakuja mambo mawili - nimtukane/nimpige au nimsamehe. Mungu anataka usamehe. Ukikubaliana na Mungu, hapo tayari umeendemda kiroho. ---- Karibu kila kitu maishani kina hiyo binary choice.
Ni kweli kabisa. Huo ndio unaoitwa msalaba. --- Anayetaka kunifuata lazima abebe msalaba wake. -- Iko gharama. Na ni vema kulitambua hilo unapoanza safari. Lakini uzuri ni kwamba, maisha haya ya msalaba ni miaka 70-80, baada ya hapo ni MILELE. Lakini hata ndani ya msalaba, Mungu hakuachi, anaenda na wewe mguu kwa mguu. ------- Swali kubwa la Yesu ni kuwa inafaa nini hata ukipata pesa na mali zote (kwa miaka 80), kisha ukaangamia milele? ---------- wengi hatutafakari sana swali hili. Iko gharama, but it is worth everything.Shukrani sana.
Sasa katika hayo machaguo ndio Kuna utata wenyewe. Unaweza kuchagua upande ambao utakukosesha vingi. Na kumbuka sehemu kubwa ya maisha yetu katika ulimwengu huu tunategemea ya mwili zaidi. Sio roho
SahihiAmen. Lakini ulinzi wake unategenea kama mtu anaingia kwenye safina (YESU) au la mkuu