Ukifungua macho yako, kila kitu kiko wazi

Hili ni lazima litimie ili yaliyo tabiriwa kwenye maandiko yatimie pia. Everything's God plan. Tujanjaruke usikubali hii order kwa binafsi yako
Kweli kabisa. Good advice.
 
Hili ni lazima litimie ili yaliyo tabiriwa kwenye maandiko yatimie pia. Everything's God plan. Tujanjaruke usikubali hii order kwa binafsi yako
Kweli kabisa. Good advice.
Israel wamejitahidi sana kuchanja, lakni maambukizi yako juu, wanaanza awamu ya nne ya kuchanja. Haya mambo yanafikirisha sana 😎
Hilo ni kweli kabisa. Na mtu atafikiri haraharaka kuwa ugonjwa wa korona umeongezeka Israeli.
Lakini si kweli.
Kinachowatesa ni chanjo na si korona.
Nchi zote ambazo zimechanja sana ndizo zenye maambukizi sana.
Nchi zilizochanja kidogo ndizo zenye maambukizi kidogo.
Watu wameingizwa kwenye hila na wakaingia wazimawazima.
 
Shukrani sana.

Sasa katika hayo machaguo ndio Kuna utata wenyewe. Unaweza kuchagua upande ambao utakukosesha vingi. Na kumbuka sehemu kubwa ya maisha yetu katika ulimwengu huu tunategemea ya mwili zaidi. Sio roho
 
Ni kweli kabisa. Huo ndio unaoitwa msalaba. --- Anayetaka kunifuata lazima abebe msalaba wake. -- Iko gharama. Na ni vema kulitambua hilo unapoanza safari. Lakini uzuri ni kwamba, maisha haya ya msalaba ni miaka 70-80, baada ya hapo ni MILELE. Lakini hata ndani ya msalaba, Mungu hakuachi, anaenda na wewe mguu kwa mguu. ------- Swali kubwa la Yesu ni kuwa inafaa nini hata ukipata pesa na mali zote (kwa miaka 80), kisha ukaangamia milele? ---------- wengi hatutafakari sana swali hili. Iko gharama, but it is worth everything.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…