BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Haijalishi bro, Joh hajawah na hatawak kamwe kutoa nyimbo yakiwaki always anadrop hit aft hitMimi nipo kwenye hii industry nelewa mdogo wangu
Hiyo ni kweli ila ukiangalia wadau wengi hata hapa jamii forum wanasema kuwa ile ngoma kabebwa. Japo hata mm pia naiona ngoma kali.Haijalishi bro, Joh hajawah na hatawak kamwe kutoa nyimbo yakiwaki always anadrop hit aft hit
Sana tu" Ghost namkubali sana muleHiyo ni kweli ila ukiangalia wadau wengi hata hapa jamii forum wanasema kuwa ile ngoma kabebwa. Japo hata mm pia naiona ngoma kali.
By the way mkuu Avatar yako nimeikubali sana. Vipi ulifatiliaga series ya POWER nini??
Shawn mimi ndiye ananifurahisha na TashaSana tu" Ghost namkubali sana mule
Sasa shawn si akafa mule. Mbeleni hayupo tenaShawn mimi ndiye ananifurahisha na Tasha
Pamoja mkuuSana tu" Ghost namkubali sana mule
Kwani ishatoka season mpya tofauti na ile iliyoisha ghost kakamatwa kwa kosa la kumuua yule polis na shawn kawa kiongozi la lile kundi lililokuwa linaongozwa na yule mrusi waliyemuua yeye na ghostSasa shawn si akafa mule. Mbeleni hayupo tena
Sawasawa mkuu, tena yule mtangazaji wao anaitwa Mange ndiye alishupalia mpaka jamaa akadakwa.Hawa jamaa wanajiona wao ndio kila kitu hapa Tanzania nahisi hawa ndio walimchomea mmiliki wa chombo flani cha habari alivyo outshine
Wabongo ni magwiji wa unafikiLakini hivyo vipindi mnaendelea kuvisikiliza huku mkija jf mkijifanya hamsikilizi wakati mnajua hata majina ya vipindi watangazaji pamoja na jingles zao na yanayoendelea mjengoni.
Sasa uwa najiuliza kama hampendi hivyo vipindi na redio ya kipuuzi hizo habari na hao watangazaji mnawajulia wapi?
Watu wengi hawasikilizi TBC radio na ni kweli kwasababu watangazaji na vipindi vya hiyo redio havijulikani kwa waliowengi.
Lakini clouds hata anayesema haisikilizi anajua vipindi vyake.
Amazing grace.
Mtu anasema hapendi mawingu lakini anajua hata jingles na vipindi vya mawingu za mawingu kuliko redio nyingineWabongo ni magwiji wa unafiki
nakuelewesha ucyo ya jua
mtv wamemuona waikat anapgwa clouds tangu azngue katoa ngoma ganKafika mbali mkuu,na ndio mana.MTV wamemuona
Hadi maproduza wavpnd wanawajuaMtu anasema hapendi mawingu lakini anajua hata jingles na vipindi vya mawingu za mawingu kuliko redio nyingine
Yaani kuna watu na makampuni wanatukanwa na kuchukiwa balaa mitandaoni tlakini wanatusua kila sikuMtu anasema hapendi mawingu lakini anajua hata jingles na vipindi vya mawingu za mawingu kuliko redio nyingine