Ukigombana na Clouds FM ina maana umengombana na wafanyakazi wake? Maana B dozen sijamuelewa

Ukigombana na Clouds FM ina maana umengombana na wafanyakazi wake? Maana B dozen sijamuelewa

Haijalishi bro, Joh hajawah na hatawak kamwe kutoa nyimbo yakiwaki always anadrop hit aft hit
Hiyo ni kweli ila ukiangalia wadau wengi hata hapa jamii forum wanasema kuwa ile ngoma kabebwa. Japo hata mm pia naiona ngoma kali.

By the way mkuu Avatar yako nimeikubali sana. Vipi ulifatiliaga series ya POWER nini??
 
Hiyo ni kweli ila ukiangalia wadau wengi hata hapa jamii forum wanasema kuwa ile ngoma kabebwa. Japo hata mm pia naiona ngoma kali.

By the way mkuu Avatar yako nimeikubali sana. Vipi ulifatiliaga series ya POWER nini??
Sana tu" Ghost namkubali sana mule
 
Sasa shawn si akafa mule. Mbeleni hayupo tena
Kwani ishatoka season mpya tofauti na ile iliyoisha ghost kakamatwa kwa kosa la kumuua yule polis na shawn kawa kiongozi la lile kundi lililokuwa linaongozwa na yule mrusi waliyemuua yeye na ghost
 
Jamaniiiiiii acheni ujinga wenu wa kujifanya kuwa hamjui kama Ruby kakataa kuwa asihusishwe yeye wala kazi zake na hiyo Redio. Halafu cyo lazima kuisikiliza hiyo Clouds mbona kuna Redio kibao tu na zinafanya vizuri? Mbona hamzungumzii hii nyingine ambayo the big boss wake ameitwa central?
 
Hawa jamaa wanajiona wao ndio kila kitu hapa Tanzania nahisi hawa ndio walimchomea mmiliki wa chombo flani cha habari alivyo outshine
Sawasawa mkuu, tena yule mtangazaji wao anaitwa Mange ndiye alishupalia mpaka jamaa akadakwa.
 
Lakini hivyo vipindi mnaendelea kuvisikiliza huku mkija jf mkijifanya hamsikilizi wakati mnajua hata majina ya vipindi watangazaji pamoja na jingles zao na yanayoendelea mjengoni.
Sasa uwa najiuliza kama hampendi hivyo vipindi na redio ya kipuuzi hizo habari na hao watangazaji mnawajulia wapi?
Watu wengi hawasikilizi TBC radio na ni kweli kwasababu watangazaji na vipindi vya hiyo redio havijulikani kwa waliowengi.
Lakini clouds hata anayesema haisikilizi anajua vipindi vyake.
Amazing grace.
Wabongo ni magwiji wa unafiki
 
Mtu anasema hapendi mawingu lakini anajua hata jingles na vipindi vya mawingu za mawingu kuliko redio nyingine
Yaani kuna watu na makampuni wanatukanwa na kuchukiwa balaa mitandaoni tlakini wanatusua kila siku

1.CLOUDS

2.GSM

3.MAKONDA

4.CCM

5.DIAMOND

6....

Kitu kingine nilishagundua ni chuki tu za maslahi, Siku Clouds wanazindua kuanza kuonekana DSTV, Masoud Kipanya alikuwa anawaponda eti ukiacha taarifa ya habari hawana vipindi vya maana - leo hao hao wamemwajiri anapiga porojo zake, Watanzania ni wanafiki sana
 
Back
Top Bottom