Tuwaseme hadi waone aibu.Hebu ona Tanzania inavyong'arishwa na huyu dada kama dhahabu matopeni. Hongera Jihan.
Watanzania wenzangu hatuna kwetu kwingine ila hapa. Tushindane kupasafisha panukie sio kupachafua panuke.
Haipendezi watanzania kama hawa wanahangaika kuipamba na mwingine anapambana kuichafua.
Lazima tuwe na tuzo na adhabu ya taifa kwa watu wazuri na wabaya kwa Taifa.
naunga mkono hoja gentleman 🤝Hebu ona Tanzania inavyong'arishwa na huyu dada kama dhahabu matopeni. Hongera Jihan.
Watanzania wenzangu hatuna kwetu kwingine ila hapa. Tushindane kupasafisha panukie sio kupachafua panuke.
Haipendezi watanzania kama hawa wanahangaika kuipamba na mwingine anapambana kuichafua.
Lazima tuwe na tuzo na adhabu ya taifa kwa watu wazuri na wabaya kwa Taifa.
Sera na usimamizi wa sera ndiyo vinavyotofautisha kati ya bara la Afrika na mabara mengine na tanzania na nchi nyingine.Tanzania na serikali ya CCM ni vitu viwili tofauti!
CCM inaweza kufa na kupotea ila ardhi ya Tanzania itaendelea kuwepo!
Huyo jihan ndio nani huko mjini? Maana naona jina la kikorea lakini anatajwa kwenye mitandao ya malawi! Au ndo diaspora wa korea kama akina nashendwa kowaerewa diaspora wa china
Na Lucas MwashambwaHebu ona Tanzania inavyong'arishwa na huyu dada kama dhahabu matopeni. Hongera Jihan.
Watanzania wenzangu hatuna kwetu kwingine ila hapa. Tushindane kupasafisha panukie sio kupachafua panuke.
Hebu ona Tanzania inavyong'arishwa na huyu dada kama dhahabu matopeni. Hongera Jihan.
Watanzania wenzangu hatuna kwetu kwingine ila hapa. Tushindane kupasafisha panukie sio kupachafua panuke.
Haipendezi watanzania kama hawa wanahangaika kuipamba na mwingine anapambana kuichafua.
Lazima tuwe na tuzo na adhabu ya taifa kwa watu wazuri na wabaya kwa Taifa.
View: https://youtu.be/5LwWHFfnsFs?si=TvZkcUUWQnUZWE5k
Hivi mwanamke mwenye miaka 30 anakuwaje miss?Hebu ona Tanzania inavyong'arishwa na huyu dada kama dhahabu matopeni. Hongera Jihan.
Watanzania wenzangu hatuna kwetu kwingine ila hapa. Tushindane kupasafisha panukie sio kupachafua panuke.
Haipendezi watanzania kama hawa wanahangaika kuipamba na mwingine anapambana kuichafua.
Lazima tuwe na tuzo na adhabu ya taifa kwa watu wazuri na wabaya kwa Taifa.
View: https://youtu.be/5LwWHFfnsFs?si=TvZkcUUWQnUZWE5k
Tanzania haichafuki, msikilize huyu anasema nini kuhusu uchumi wa Tanzania vs Kenya. Anasema vitu ambavyo tayari tz tumeshavifanya.We Mjinga, Vikwazo vya Jumuiya ya Madola (COMMONWEALTH) kwa Tanzania Vimeanza Rasmi - NGOs Zapigwa Stop kuomba Miradi; https://www.jamiiforums.com/threads...gwa-stop-kuomba-miradi.2483999/#post-57064924