Hata usipoelewa sisi walimu tunajua kuwa wapo watu ambao ni slow learners, wengine ni runners and wengine jumpers kwenye kuelewa na kujifunza. Yaani hapa wamemaanisha wako wanaotembea polepole, wanaokimbia na wanaokimbia kwa kuruka hatua (jampers) harakaharaka.
Ndiyo maana mimi narudiarudia mara nyingi jambo lilelie kila siku ili hata slow learners pia waipende nchi yao, waepuke mkumbo, wachanganye na akili zao kika wanachokisia na kuambiwa. Kwenye mbinu za kujifunza tunasema repeations make perfect.
Hatuchoki kutoa elimu kwa watanzania wenzetu kila tupatapo nafasi bila kujali kama tunaoneka kama machawa. Mimi faida ninayopata kwenye kuandika huku ni amani na utulivu kwa watu wote, mali kwangu sio muhimu sana kwakuwa najua hata wenye mali nyingi sana wanakufa pia na kuziacha zote kwa 100%.