Nampurukano
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 2,143
- 2,872
Hebu ona Tanzania inavyong'arishwa na huyu dada kama dhahabu matopeni. Hongera Jihan.
Watanzania wenzangu hatuna kwetu kwingine ila hapa. Tushindane kupasafisha panukie sio kupachafua panuke.
Haipendezi watanzania kama hawa wanahangaika kuipamba na mwingine anapambana kuichafua.
Lazima tuwe na tuzo na adhabu ya taifa kwa watu wazuri na wabaya kwa Taifa.
View: https://youtu.be/5LwWHFfnsFs?si=TvZkcUUWQnUZWE5k
Mtanzania gani huyo! yeye na mwi-Ekwado hawanatofauti sura na rangi. Huyo yuko kama meli za mizigo baharini zinazoamua kutumia bendera ya Tanzania kusafiri lakini sio mali ya Tanzania.