Nampurukano
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 2,143
- 2,872
Mtanzania gani huyo! yeye na mwi-Ekwado hawanatofauti sura na rangi. Huyo yuko kama meli za mizigo baharini zinazoamua kutumia bendera ya Tanzania kusafiri lakini sio mali ya Tanzania.Hebu ona Tanzania inavyong'arishwa na huyu dada kama dhahabu matopeni. Hongera Jihan.
Watanzania wenzangu hatuna kwetu kwingine ila hapa. Tushindane kupasafisha panukie sio kupachafua panuke.
Haipendezi watanzania kama hawa wanahangaika kuipamba na mwingine anapambana kuichafua.
Lazima tuwe na tuzo na adhabu ya taifa kwa watu wazuri na wabaya kwa Taifa.
View: https://youtu.be/5LwWHFfnsFs?si=TvZkcUUWQnUZWE5k
Huwa vinaharibiwa huko kwao? Umesikia tume ya uchaguzi huko kwao ikiagizwa kumtangaza mgombea wa chama tawala bila ridhaa ya wananchi? Unatolea mfano ulaya na huu uchafu wa huku?!Ulishaona BBC, DW, CNN wakionyesha/vikiongea chochote kuhusu majengo, miundombinu, barabara, sheli, TRA, ofisi na vituo vilivyoharibiwa?
Jee na huyu MMAREKANI ni chawa Kwa nani?Mhhhh chawa kazi mnayo
Hukusikia Trump akisema ameibiwa kura na tume? Hukusikia wagombea Marekani wakiishutumu Urusi kusaidia kuiba kura? Acheni kujidharau wenyewe.Huwa vinaharibiwa huko kwao? Umesikia tume ya uchaguzi huko kwao ikiagizwa kumtangaza mgombea wa chama tawala bila ridhaa ya wananchi? Unatolea mfano ulaya na huu uchafu wa huku?!
Tuwaseme hadi waone aibu.
Mbuzi wenye Bonus ya kamba na midomo mikubwa wala huwaoni.
Unafki ni hatua ya mwisho kuelekea Ushoga.
Angeenda mahakamani maana mahakama zao ni huru. Na uzuri rais wa Marekani anashitakiwa. Huku jehanamu hilo linawezekana?Hukusikia Trump akisema ameibiwa kura na tume? Hukusikia wagombea Marekani wakiishutumu Urusi kusaidia kuiba kura? Acheni kujidharau wenyewe.
View: https://youtu.be/NHxY4cQ2G2Y?si=HXUmTsYmtEwpULTW
"Huyo yuko kama meli za mizigo baharini zinazoamua kutumia bendera ya Tanzania kusafiri lakini sio mali ya Tanzania."Mtanzania gani huyo! yeye na mwi-Ekwado hawanatofauti sura na rangi. Huyo yuko kama meli za mizigo baharini zinazoamua kutumia bendera ya Tanzania kusafiri lakini sio mali ya Tanzania.
Daaah!! dunia haiwazi kama unavyowaza wewe. Tz inaendelea kuusafisha uchafu wenu mlioidondoshea nchi. Hebu ona watu walioshika mop na jiki kutoa harufu ya mikojo yenu.CCM ya sasa na wale watawala watekaji na wauaji, wamelichafua jina la Tanzania. Laana ikakae juu ya watu hawa, maana siyo tuwameliharibu jina la nchi, bali wameleta majonzi kwa familia nyingi , na kwa taifa kwa ujumla.
Mtashindana lakini hamtashinda. Umoja wetu unayo mizizi mirefu sana kwenda chini ya ardhi. Hiyo ni kazi ya CCM. Mazuri ya CCM ni mengi kuliko mabaya yake; yaani 97% kwa 3%. Kuna haki gani inayoshinda haki hii ya watu wa makabila yote, rangi zote, dini zote kuwa na haki sawa kwenye nchi yao?Kuna vitu vinachekesha hii nchi yaan unakuta kabisa mwanaume anafatilia ujinga ujinga tu sasa huyo nae ni nani mpaka taifa limtambue .. nchi ikijaa mazombi ndo shida hii ... Chawa tafuteni sera za maana sio upuuzi huu .
Kila siku nakuambia ww ni mjinga hutaki kuamini. Fungua hiyo BBC toka maandamano yameanza hadi leo kama hakuna hizo habari za miundombinu kibao kuchomwa.Ulishaona BBC, DW, CNN wakionyesha/vikiongea chochote kuhusu majengo, miundombinu, barabara, sheli, TRA, ofisi na vituo vilivyoharibiwa?
Ulishaona BBC, DW, CNN wakionyesha/vikiongea chochote kuhusu majengo, miundombinu, barabara, sheli, TRA, ofisi na vituo vilivyoharibiwa?
Tatizo ww unaleta ubishi basi tufute vyama vya upinzani kisa ccm imefanya mengi mazuri. Siasani kukosoana kuelekezana sio uadui. Shida nyingine mnadhani kila mtu anae toa mawazo tofauti na nyinyi ni chademaMtashindana lakini hamtashinda. Umoja wetu unayo mizizi mirefu sana kwenda chini ya ardhi. Hiyo ni kazi ya CCM. Mazuri ya CCM ni mengi kuliko mabaya yake; yaani 97% kwa 3%. Kuna haki gani inayoshinda haki hii ya watu wa makabila yote, rangi zote, dini zote kuwa na haki sawa kwenye nchi yao?
Ugomvi wetu na nyie ni kwamba sisi hatupendi ushoga, bange na porojo.
View: https://youtu.be/Vi1qbUpZQ1M?si=3Vm6wEGY1NQgv0t1
Kwani hizo mali zilizochomwa na kuharibiwa na wahuni hazistahili mtu kupigwa risasi? Kwahiyo polisi wanashika silaha kama mapambo kwenye malindo? Watu wananunua na kumiliki silaha wanatakiwa kuzitumia wakati upi, wakibakwa?Hawawezi ongelea ujinga dhidi ya maisha ya watu. Hayo mambo ya vituo, mwendokasi na tra ni mambo ya akili ndogo kama wewe au Tlatlaaaa na wenzako
Nisimulie sina bando
Ok!! kama wameonyesha BBC na CNN watu waliokatwa vidole na vituo vya polisi, serikali za mitaa zilizoungua ni sawa. Ndiyo maana ICC, Commonweath, AU, SADC na EU waliitupilia mbali milio ya waliominywa.Kila siku nakuambia ww ni mjinga hutaki kuamini. Fungua hiyo BBC toka maandamano yameanza hadi leo kama hakuna hizo habari za miundombinu kibao kuchomwa.