Serous huwa sielewagi huwa unaongea utoto gani!Ok!! kama wameonyesha BBC na CNN watu waliokatwa vidole na vituo vya polisi, serikali za mitaa zilizoungua ni sawa. Ndiyo maana ICC, Commonweath, AU, SADC na EU waliitupilia mbali milio ya waliominywa.
Hapana nchi hii ni yetu sote, hakuna mwenye kura ya turufu kuwa akisema na kuamua yeye lazima iwe hivyo. Kosoa lakini toa njia nyingine rahisi ya kufanikisha jambo unaloona CCM wameonyesha udhaifu katika kulitatua.Tatizo ww unaleta ubishi basi tufute vyama vya upinzani kisa ccm imefanya mengi mazuri. Siasani kukosoana kuelekezana sio uadui. Shida nyingine mnadhani kila mtu anae toa mawazo tofauti na nyinyi ni chadema
Tuwafundishe vijana skills za namna ya kuongeza na akili zao kwa kila wanaloambiwa, sikia na kutumwa. Kuna baadhi ya wazazi wanafeli kwenye malezi ya watoto wao. Wamezalisha mabumunda yanayozunguuka mitaani tayari kwa kutumwa na yeyote kufanya chochote. Yaani hata Mange Kimambi anayatuma na kuyaagiza kirahisi tu akiwa hukohuko aliko.Hawawezi ongelea ujinga dhidi ya maisha ya watu. Hayo mambo ya vituo, mwendokasi na tra ni mambo ya akili ndogo kama wewe au Tlatlaaaa na wenzako
Mbona wewe hujaiga?Mfano wa Kuigwa
Kwani watoto wa Mo Dewj, Rostam Aziz, Speaker Azzan Zungu, Yusuf Manji sio watanzania?Mtanzania gani huyo! yeye na mwi-Ekwado hawanatofauti sura na rangi. Huyo yuko kama meli za mizigo baharini zinazoamua kutumia bendera ya Tanzania kusafiri lakini sio mali ya Tanzania.
Hata usipoelewa sisi walimu tunajua kuwa wapo watu ambao ni slow learners, wengine ni runners and wengine jumpers kwenye kuelewa na kujifunza. Yaani hapa wamemaanisha wako wanaotembea polepole, wanaokimbia na wanaokimbia kwa kuruka hatua (jampers) harakaharaka.Serous huwa sielewagi huwa unaongea utoto gani!
Unarudia utoto? Umesema BBC, CNN hawarushi hayo matukio, nimekuambia fungua BBC kama hutakuta hizo habari, unaleta utoto. Yaani urudie upuuzi ndio utarajie utaeleweka? Halafu usichanganye nchi na serekali we dogo.Hata usipoelewa sisi walimu tunajua kuwa wapo watu ambao ni slow learners, wengine ni runners and wengine jumpers kwenye kuelewa na kujifunza. Yaani hapa wamemaanisha wako wanaotembea polepole, wanaokimbia na wanaokimbia kwa kuruka hatua (jampers) harakaharaka.
Ndiyo maana mimi narudiarudia mara nyingi jambo lilelie kila siku ili hata slow learners pia waipende nchi yao, waepuke mkumbo, wachanganye na akili zao kika wanachokisia na kuambiwa. Kwenye mbinu za kujifunza tunasema repeations make perfect.
Hatuchoki kutoa elimu kwa watanzania wenzetu kila tupatapo nafasi bila kujali kama tunaoneka kama machawa. Mimi faida ninayopata kwenye kuandika huku ni amani na utulivu kwa watu wote, mali kwangu sio muhimu sana kwakuwa najua hata wenye mali nyingi sana wanakufa pia na kuziacha zote kwa 100%.
Sasa nimefungua BBC sikuona habari ya watu waliokatwa vidole vyao kwasababu walienda kupiga, sasa mm nifanyeje?Unarudia utoto? Umesema BBC, CNN hawarushi hayo matukio, nimekuambia fungua BBC kama hutakuta hizo habari, unaleta utoto. Yaani urudie upuuzi ndio utarajie utaeleweka? Halafu usichanganye nchi na serekali we dogo.
Punguza utoto dogo.Sasa nimefungua BBC sikuona habari ya watu waliokatwa vidole vyao kwasababu walienda kupiga, sasa mm nifanyeje?
Sikiliza kibaraka huyu wa BBC
View: https://youtube.com/shorts/GGYEPuWVbyY?si=xXA5uNj9-H-Xu4zy
Hizi hapa hawazisemi
View: https://youtu.be/pyx3fgWVuC0?si=uQT2LvFyNyPka6t3
Utoto upi? kuchukua karatasi na kalamu uchukue notes za elimu hii ya bure inayotolewa humu jf. Unaonekana huna kitu unafahamu kuhusu dunia hii. Kama mm hunielewi basi wasilize hawa.Punguza utoto dogo.