Ukiingia kwenye Mahusiano na Mmasai, Sahau Kuachika/Kumuacha

Ukiingia kwenye Mahusiano na Mmasai, Sahau Kuachika/Kumuacha

Feminist hawezi dumu kwenye mahusiano na mwanaume. Never
Hujui hata feminist maanake, maana feminist ni movement wala haihusiki na mahusiano ya mwanaume na mwanamke hasa ya kingono mkuu. Jielimishe kwanza utachekwa, ka u feminist ni mwanaume kulelewa basi ni wewe.
Hafu ka unatumia jf you can Google maana ya feminism, feminist ujielimishe na uelimishe wengine
 
Masai wana Mila za ajabu sana! Kuna siku nilipita hii njia ya Singida to Arusha, nilifika kijiji kimoja nikaona baba wakimasai anasubiria mtoto wa shule atoke maliza fanya mtihani wa darasa la sana aende kuoa! Huyo Mzee was 50+ na yule binti nadhani she was around 16 huko! Niliona maajabu sana eti
Wanaoa vibinti vidogo na wengi huwa mitala, ikifika mda wa kujifungia ni tabu sana aisee, hizi Mila nyingine hapana, Yani mtu amuoe Binti yangu mdogo nitamvunja miguu na bastola wallah, ukatili mtupu
 
Hamna kitu apo, Jina la kimeru tena wa sura uko mlimani mkuu inakuaje unajiita masai, au ndio kukimbia asili yako
Tena bora huyu mmeruu ni wa Arusha, kuna jamii fulani Kaskazini ukiisema vibaya Arusha wao wanajaa utafikiri wao ni wamasai.
 
Back
Top Bottom